mchovu wa fikra
JF-Expert Member
- Jul 16, 2016
- 335
- 396
tatizo utawala mbovu wa magufuli,hajui atendalo tumsamehe jamani.Huyu jama hajui ku prioritize mambo mfanoi mzuri anakurupuka kununua ndege wakati vijana hawana ajira,hatuna madawa na chanjo mahospitalini,wafanyakazi wana hali mbaya na hatima yake atatamani ajiuzulu tumpe muda jasho limmwagike.