Ndibalema
JF-Expert Member
- Apr 26, 2008
- 10,955
- 4,663
Mengi sana yananihusu.Hahah yanakuhusu eeeeh
Mengi sana yananihusu.Hahah yanakuhusu eeeeh
Tabia yako ya kujamba afu unanusa kwa nguvu usikie kama kinanuka sana au kidogo umeacha?
Kumwambia mchezaji atoe pasi wakati unaangalia mpira kwenye TV.
Sio kweli, si lazima. Si binadamu wote wana matatizo hayo uliyotataja... ni watu tu wa ukoo fulani
Hiyo umenipatia mzuka ukipanda.
Ukienda Chooni K Unya Lazima Uchungulie U Mekunya Nini Hii Ni Kwa Wale Wenye Vyoo Vya Kuflash