Robin Van Mysterio
Senior Member
- Jul 24, 2014
- 102
- 15
1.Kuingia kwenye chumba
halafu ghafla unasahauuliingia kufanya nini, ukiamua kutoka tu,
unakumbuka!
2.Kuangalia saa na baada
ya kuondoa macho tu
kwenye saa, unasahau
ilikuwa saa ngapi! Na
inakubidi uangalie tena!
3.Kukubaliana na mtu kwa
kutikisa kichwa kumbe hata
hujasikia kakuambia nini.
Unaombea tu asije akawa
amekuuliza swali
4.Unatembea katikati ya
watu mara ghafla
unagundua umekosea njia,
Unajidai umesahau kitu au
kuangalia simu yako na
kuanza kurudi kwa kasi!
5.Unabishana kichwani
kwako mwenyewe mpaka
unapata hasira, baadae
unagundua ni mawazo tu
na kujiona mjinga!
6. Betri za rimoti yako
zimekwisha unaamua
kuminya batani za rimoti
kwa nguvu zaidi ukihisi
itasaidia!
7.Unaambiwa kitu Fulani ni
cha moto, unaamua
kugusa na unaungua kweli!
8. Unajikwaa au kujigonga
sehemu na unaanza
kutukana ukihisi sehemu
hiyo inakusikia
9 Kujiangalia kwenye kioo
cha jengo na kusahau
kuwa kuna watu ndani ya
jengo na wanakuagalia
10. Unabisha kwamba
hujalala (huko usingizini) na unasikia kila
kinachoongelewa, kumbe kila mtu ameshakushtukia
√√√√√√√
halafu ghafla unasahauuliingia kufanya nini, ukiamua kutoka tu,
unakumbuka!
2.Kuangalia saa na baada
ya kuondoa macho tu
kwenye saa, unasahau
ilikuwa saa ngapi! Na
inakubidi uangalie tena!
3.Kukubaliana na mtu kwa
kutikisa kichwa kumbe hata
hujasikia kakuambia nini.
Unaombea tu asije akawa
amekuuliza swali
4.Unatembea katikati ya
watu mara ghafla
unagundua umekosea njia,
Unajidai umesahau kitu au
kuangalia simu yako na
kuanza kurudi kwa kasi!
5.Unabishana kichwani
kwako mwenyewe mpaka
unapata hasira, baadae
unagundua ni mawazo tu
na kujiona mjinga!
6. Betri za rimoti yako
zimekwisha unaamua
kuminya batani za rimoti
kwa nguvu zaidi ukihisi
itasaidia!
7.Unaambiwa kitu Fulani ni
cha moto, unaamua
kugusa na unaungua kweli!
8. Unajikwaa au kujigonga
sehemu na unaanza
kutukana ukihisi sehemu
hiyo inakusikia
9 Kujiangalia kwenye kioo
cha jengo na kusahau
kuwa kuna watu ndani ya
jengo na wanakuagalia
10. Unabisha kwamba
hujalala (huko usingizini) na unasikia kila
kinachoongelewa, kumbe kila mtu ameshakushtukia
√√√√√√√