Mambo 10 unayoweza kufanya na dawa na meno

Mambo 10 unayoweza kufanya na dawa na meno

Kushawishiana mimi sipendi bwana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kwahiyo si inaitwa hivyo hivyo whitedent gel?
haha eeeh ukienda dukani mwambie dawa ya mswaki ambayo unaweza itumia kwa shughuli io.
 
Ukimeza dawa ya meno hata kama ulikuwa umeshiba namna lazima upate njaa ndani ya dakika 5 hadi 10.
Pia husaidia kuondoa vile vitambi vya wanawake ndani ya mwezi mmoja tu.
Hapana hili nakataa yes yawezekana ukaskia njaa ila sio nji nzuri au niseme si salama
 
Yatambue mambo kumi ambayo unaweza kufanya na Dawa ya mswaki tofauti na kupiga mswaki tuu.
hii itakupa msaada na tips za usafi hapo home, ofisin au shuleni

Nimejaribisha kuosha sinki kwa dawa ya mswaki hadi nikalipenda jinsi linavyong'ara
 
Kushawishiana mimi sipendi bwana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kwahiyo si inaitwa hivyo hivyo whitedent gel?
Dah mpaka nimecheka kwa sauti we mkali.
 
Back
Top Bottom