Mambo 10 unayoweza kufanya na dawa na meno

Mambo 10 unayoweza kufanya na dawa na meno

unasafishaje mkuu?bila maji au?
tumia dawa ya meno ambayo ni non Gel, na mswaki au sponchi gumu kidogo. sugua taratibu kuzunguka eneo lilivozunguka kama unavofanya na paracetamol
 
Ni dawa nzuri pia kwa wale wanaoishia bao moja tu na ishu kulala fofofofo; wapake kichwa cha gobole zao kabla au baada ya kuduuuu kwa mda wa mwezi mmoja watakuwa wameondokana na tatizo hilo.
 
Back
Top Bottom