Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 319
- 1,202
1. Beki Israel Mwenda amekuwa mtu wa kufanya makosa sana lakini Benchika anaendelea kumvumilia
2.Inonga Baka amejivunja makusudi na sasa Simba imuachie akaangalie maisha mengine.
3. Che Malone amepoteza uwezo wake wa kujiamini na amekuwa akitoa boko sana, atupishe.
4. Mabeki wa Yanga walimshindwa kabisa Kibu Dennis leo lakini Benchika akamtoa badala ya kumuacha ashambulie pamoja na Micquisone.
5. Sijui kwanini Benchika hamkubali Micquisone na anawakubali wachezaji ambao wameshashindwa.
6.Ngoma, Babacar, Sadio Kanoute, Freddy, Jobe, Saido imetosha sasa.
7. Nalia na Benchika, Benchika hana uwezo wowote kumzidi Mgunda.
8.Yanga pamoja na ushindi lakini ni wa kawaida sana.
9. Simba wangekuwa makini leo pamoja na ubovu wa wachezaji wao wangeweza kuifunga Yanga kama wangetumia nafasi vizuri.
10. Simba haina umoja kwa sababu watu walinyimwa dili za usajili tangu msimu uanze.