Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
Mkubwa sana
Mkubwa sana
Nchi za kiafrika za ajabu sana, mnyama akijichanganya kwenye makazi wa watu anauwawa na kufanywa kitoweo kama juzi kiboko mdogo aliyeingia kwenye dimbwai la mtu. Kwa nini wasingempiga ile sinadano ya nusu kaputi na kumchukua na kumrudisha kwenye mazingira yake ya aslili?
Brother sijakurupuka kuandika nilicho andika na yawezekana nina fikra pana kuliko wewe.. Umewahi kuangalia vipindi vya wanyama? kama ndio basi utakubaliana na mimi kuwa kuna sindano maalumu mithili ya bunduki ambayo hurushwa kwa mbali na mtambo huo baada ya muda kidogo basi mnyama huyo analala na kukamatwa bila madhara yoyoteMkuu wakati unamchoma hiyo sindano yee awe anakuangalia tu kiongozi hebu nipe upeo wa fikra kidogo ndugu.
Nchi za kiafrika za ajabu sana, mnyama akijichanganya kwenye makazi wa watu anauwawa na kufanywa kitoweo kama juzi kiboko mdogo aliyeingia kwenye dimbwai la mtu. Kwa nini wasingempiga ile sinadano ya nusu kaputi na kumchukua na kumrudisha kwenye mazingira yake ya aslili?
Mamba iko nguvu kumayii kumuchanga inakorokota tu
Nchi za kiafrika za ajabu sana, mnyama akijichanganya kwenye makazi wa watu anauwawa na kufanywa kitoweo kama juzi kiboko mdogo aliyeingia kwenye dimbwai la mtu. Kwa nini wasingempiga ile sinadano ya nusu kaputi na kumchukua na kumrudisha kwenye mazingira yake ya aslili?
Brother sijakurupuka kuandika nilicho andika na yawezekana nina fikra pana kuliko wewe.. Umewahi kuangalia vipindi vya wanyama? kama ndio basi utakubaliana na mimi kuwa kuna sindano maalumu mithili ya bunduki ambayo hurushwa kwa mbali na mtambo huo baada ya muda kidogo basi mnyama huyo analala na kukamatwa bila madhara yoyote