KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,249
- 5,932
Brother sijakurupuka kuandika nilicho andika na yawezekana nina fikra pana kuliko wewe.. Umewahi kuangalia vipindi vya wanyama? kama ndio basi utakubaliana na mimi kuwa kuna sindano maalumu mithili ya bunduki ambayo hurushwa kwa mbali na mtambo huo baada ya muda kidogo basi mnyama huyo analala na kukamatwa bila madhara yoyote
Hata mi naona kuwa hujakurupuka iko hivi asee sasa sjui ukikurupuka itakuwaje nimejaribu kufkiria wala spati jibu.
Ila yote kwa yote shukran sana kwa majibu yako mazuri kiongozi wangu.