Orodha niliyokabidhiwa na mama'ake yadai cerelac, disposable diapers, lactogen........na vikorombewzo kibao.............najua vyote hivyo mwanangu hapewi..............lakini vingine nimerundikiwa kukomolewa tu.................just imagine Tshs 700,000/=...................a month and she is still hungry for more........................
Kwahiyo havalishwi diapers?
Hali hizo sijui ndio cerelac na lactogen?!
Anakula na kuvaa nini? Kama wewe hujawahi kukaa na mtoto mwenyewe hata wiki moja ukajua mahitaji yake naomba nikujulishe kwamba ni ghali sana. Usishangae watu wanajipanga kuzaa. . .wanajua gharama zake.
Ukiangalia hizo diapers packet yenye sijui ni 40 haipungua 26,000. . . na hizo kama mtoto anabadilishwa properly (haachwi achwi na uchafu) basi matumizi ni yatafika hata 8 kwa siku.
8 x 5 = 40 . . . .meaning hata wiki hazimalizi.
Siku 30/siku 5 = packet 6
Packet 6 x (-+)26, 000 = 156 000
Hapo bado chakula, mavazi, vitu vyakichezea, wipers, mafuta, sabuni(siongelei mbuni). . . .
Kama unataka asiwe ghali mwambie ampe huyo mtoto maisha ya kawaida sana. Maziwa ya chai kwa siku pant moja 500, unga wa uji wa mahindi hauzidi 200, kumfunga atumie vipande vya kanga vilivyochakaa, sabuni ya mbuni mche 400 kama sikosei, na nguo mnaenda kwenye zile nadhani zinaitwa saula saula elfu mbili mbili tu mpaka mia tano unapata nguo za ukweli.