Pole sana mke mwenzangu mamaafacebook.
Mungu atakupa unafuu, utapona haraka.
Habari hii imfikie mume wetu MO11.
Na mume wangu TANMO.
Habari wapendwa,
Member mwenzetu mamaafacebook amepata ajali yuko hospital amelazwa ameumia mkono na mguu wa kulia umevunjika tumuombee.
Pole mamaafacebook mungu ampe tahfif
Daaa MPE polee sana amelazwa Hosp ganii?
pole sana mamaafacebook...
Pole sana Mungu atakupa hujambo ya haraka
Pole sana mamaafacebook
Jamani pole mamaafacebook,
pole sana
Pole sana mamaafacebook.
suregirl, hebu tueleze hiyo ajali imetokea wapi?
Na vipi hali ya mgonjwa kwa sasa?
Pole xana... Bombo ni Tanga au?
...
amyna..
guys asanteni nashukuru maombi yenu yameniwezesha nashukuru mguu sijambo majeraha nayo yanakauka mungu ni mwema
guys asanteni nashukuru maombi yenu yameniwezesha nashukuru mguu sijambo majeraha nayo yanakauka mungu ni mwema
asante nashukurumamafacebook pole sana mama
aaamynAmen!!!!
ntarahije yaani Mafikizolo unatabiamaya hatakumjuza mmeo?Ameeen!!!! nakuja jioni na supu ya ulimi nikuone shem wangu
Habari wapendwa,
Member mwenzetu mamaafacebook amepata ajali yuko hospital amelazwa ameumia mkono na mguu wa kulia umevunjika tumuombee.
nina wiki kama tatu sasa
Tunafurahi sana kusikia unaendelea vizuri, Mungu mkubwaaaamyn asante kwa dua
thanksmamaafacebook pole sana!
ahahahah umeuatunaomba picha
inshaalahHuo mguu upone tu kabisa,tena ucheze na netball.