BASIASI JF-Expert Member Joined Sep 20, 2010 Posts 9,732 Reaction score 5,011 Sep 13, 2011 #1 http://3.bp.blogspot.com/_Uf3wKuI_75k/SE6kt0B7ahI/AAAAAAAAAhA/L38_AHtYn2w/s1600-h/Mama.bmpMama akitumia nguvu zake zote kujitwisha mzigo mkubwa wa kuni katika kijiji kimoja mkoani Tanga ambako nishati pekee ya nyumbani inatoka na mazao ya misitu. Source: http://mwananchi.co.tz/
http://3.bp.blogspot.com/_Uf3wKuI_75k/SE6kt0B7ahI/AAAAAAAAAhA/L38_AHtYn2w/s1600-h/Mama.bmpMama akitumia nguvu zake zote kujitwisha mzigo mkubwa wa kuni katika kijiji kimoja mkoani Tanga ambako nishati pekee ya nyumbani inatoka na mazao ya misitu. Source: http://mwananchi.co.tz/
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,798 Reaction score 22,131 Sep 13, 2011 #2 na walivyopandisha bei ya mafuta ya taa nadhani misitu itaisha kwa mkaa na kuni
Pdidy Platinum Member Joined Nov 22, 2007 Posts 61,674 Reaction score 37,852 Sep 13, 2011 #3 We acha naona hela za dharura za kununua mita ipandwe ziko njiani watu washibe