Mama yangu Mpenzi @gfsonwin, nimekumis.. .. narudi nyumbani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mama yangu Mpenzi @gfsonwin, nimekumis.. .. narudi nyumbani!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ronn M, Jul 30, 2012.

 1. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mama yangu mpenzi gfsonwin! Mimi mwanao mzima kabisa. Kabla ya yote nikuhakikishie mapenzi ya kweli niliyonayo

  kwako. Hapana mwingine kama mama! Wewe una nafasi ya kwanza moyoni mwangu na hakika ninakupenda daima mama

  yangu mpenzi! Baba Kaizer hajambo hapo nyumbani?

  Mama yangu mpenzi, wiki iliyopita nilipatwa na safari ya ghafla. Zilikuwepo dalili za waheshimiwa kutaka kumwaibisha

  dhaifu kwa kuwaadhibu wateule wake. Hivyo akanipigia simu ili nikaweke mambo flani ya 'kitekiniko' sawa. Hii ilinilazimu

  kujifungia kati ya moja ya vyumba vya mjengo wetu na kale 'kaofisi ketu kadogo' pale. Mawasiliano yangu ya simu na

  internet yalizuiliwa kwa kiasi flani kwa sababu za 'kiintelijensia'. Kwasasa kazi nimemaliza kama mlivyoona wenyewe

  jumamosi na jana tulikuwa tunajipongeza kidogo. . .


  Ako zangu Eiyer, platozoom, Excellent, Mbimbinho na aunt Smile wamenitafuta bila mafanikio, sasa narudi.

  Ila nimegundua Asprin hana nia njema nawe mama, anataka akugombanishe na mzee Kaizer. Halafu nimegundua

  wakeze cacico, Yummy na BADILI TABIA wananizimikia maana nilipowasha simu nimekutana na msg zao tata

  mama yangu. Nishauri niwafanyeje?
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,115
  Likes Received: 24,183
  Trophy Points: 280
  ABOMINATION!! Inakuwaje wake zangu wakawa wanangu!!!!!:nerd::nerd::nerd:
   
 3. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Sasa mama yangu mpenzi gfsonwin, ili kudhihirisha upendo wangu kwako nakuletea zawadi za kufa mtu na wamasai

  wawili! Kwanza nimefungasha mabox ya Dodoma wine na zabibu zake! Halafu ninapitia dubai nitakuletea kile kiitwacho 'set

  adimu ya mwanamke' yaani hereni, mkufu, bangili, pete, saa, shanga za matumizi ya 'kawaida', zote za dhahabu safi kwa

  gramu za kutosha! Nitakulete pia wallet na pochi ambazo hakika kila ubebapo watu hawatachoka kugeuza macho. Hapo

  sijazema vile vigauni na viatu kutoka Gucci na Chanel! Haya yote ni sign ya upendo wangu kwako. Siwezi kusahau mikono

  yako mwororo ilipokuwa inaniogesha enzi za utoto wangu!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145


  Hahahaha amechanganya madesa msamehe !
   
 5. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Correction Asprin, I meant wake zako na ndio maana nikaomba ushauri kwa mama! Vingenevyo wangekuwa wanao wala

  nisingejiuliza mara mbili!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  tufiakwa! Najitemea mate kifuani! Abomination of the highest order! Lol!
   
 7. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Ronn M hebu tutake radhi wallah! ila umepotea sana, mzima weye?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #8
  Jul 30, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Wewe mtoto wewe mbona babako Kaizer unamtenga sana?......au hajakulea kama mama eeh?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #9
  Jul 30, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  sweetlady, nimefanya marekebisho tayari. Naomba sasa thread hii isomeke kama ilivyorekebishwa! Naomba kutoa hoja
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #10
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  mama kadogoo sweetlady mzima weye?? siku hizi sikuelewi ujue, shemeji yangu Vin Diesel hajambo?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #11
  Jul 30, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hujambo wewe ?
  Ronn M vile anawaona nyie wadogo afu Asprin kazeeka basi anafikiri nyie ni watoto wake lol !
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #12
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,115
  Likes Received: 24,183
  Trophy Points: 280
  Anataka nimpe ile adhabu yangu ya kuteketeza?

  [​IMG]
   
 13. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #13
  Jul 30, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,320
  Trophy Points: 280
  Haiwezekani anko wako nipo Dodoma halafu weye unapita bila kuja kunisabahi. Halafu anko kwa nini hukui? Unaulizia rangi ya mkaa?

   
 14. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #14
  Jul 30, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mimi mzima wa afya cacico......utanielewa mda sio mrefu usijali...... Vin Diesel nae yuko poa mpendwa !
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #15
  Jul 30, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kwa baba yangu mpendwa Kaizer, wewe ninakubebe kiti cha Steffano Ricci na Armani. Na ninajipanga malipo ya juzi

  yatakapoingia pamoja na ya kazi 'maalumu' nitakayokuwa nikifanya wakati wa uchaguzi wa chama kilee nitakurushia japo

  'verossa'! Maana si kwamba wananipa hela nyingi sana hasa ukizingatia kazi ninazowafanyia! Na kwa upendo wangu

  kwako nitakupa saa yangu ya Lange&Sohne niliyopewa kama zawadi na mkulu kwa kazi niliyofanya 2010
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #16
  Jul 30, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145

  Tobaaaaa wewe Asprin ndio nini kututia huzuni wakati jua bado halijawaka ? Chango limecheza bana khaaaah !
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #17
  Jul 30, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nilianza na mama kwa sababu alinitafuta yeye kwanza. Hata hivyo baba naye nimempa bonge la shavu kuliko hata mama.

  Kwenye post zangu utaona zawadi zake
   
 18. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #18
  Jul 30, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ukiona hivyo ujue anko umefulia !
   
 19. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #19
  Jul 30, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Sasa hizi msg nilizokuta kwenye simu yangu nani katuma? Au kuna mtoto wa kigogo amenunua mtambo Israel anahusika?
   
 20. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #20
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,115
  Likes Received: 24,183
  Trophy Points: 280
  Nivue gamba nisivue??

  [​IMG]
   
Loading...