Mama yangu Mpenzi @gfsonwin, nimekumis.. .. narudi nyumbani!

Sasa mama yangu mpenzi gfsonwin, ili kudhihirisha upendo wangu kwako nakuletea zawadi za kufa mtu na wamasai

wawili! Kwanza nimefungasha mabox ya Dodoma wine na zabibu zake! Halafu ninapitia dubai nitakuletea kile kiitwacho 'set

adimu ya mwanamke' yaani hereni, mkufu, bangili, pete, saa, shanga za matumizi ya 'kawaida', zote za dhahabu safi kwa

gramu za kutosha! Nitakulete pia wallet na pochi ambazo hakika kila ubebapo watu hawatachoka kugeuza macho. Hapo

sijazema vile vigauni na viatu kutoka Gucci na Chanel! Haya yote ni sign ya upendo wangu kwako. Siwezi kusahau mikono

yako mwororo ilipokuwa inaniogesha enzi za utoto wangu!

Ronn M nakupenda sana manangu, nisomapo haya najikuta nalia kwa uchungu wa kukukosa. u mwanangu mwema sana kila mara wadogo zako huniuliza kaka Rony yuko wapi nawaambia upo utakuja tu. baba yako Kaizer alipata msongo wa mawazo sana juu yako wewe ila nakushukuru na kufuraah umekuja. njoo mwananu nikukumbatie, nikubusu, niiskie harufu a ngozi yako.
 
Last edited by a moderator:
Haiwezekani anko wako nipo Dodoma halafu weye unapita bila kuja kunisabahi. Halafu anko kwa nini hukui? Unaulizia rangi ya mkaa?
platozoom ankoye Ronn M, mtoto bado hajakua huyu jamani lol! naona sasa hawa mama zake wadogo wanataka kumkuza ebu wamkome mwanangu kabisa lol!
 
Last edited by a moderator:
Ndiyo hivyo mwanetu keshaharibikiwa............kuchukua mijimama ndio ada yake, hasikii la mwadhini wala mteka maji msikitini

mwanangu Ronn M aliyenyonya chuchu zangu hawez kuwa na tabia kama hizo za kifedhuli. nlimlea malezi bora tena yenye nidham na heshima kubwa sana na nimjuavyo labda kama unamkuadiaga vinginevyo hafanyi.
 
Last edited by a moderator:
mwanangu Ronn M aliyenyonya chuchu zangu hawez kuwa na tabia kama hizo za kifedhuli. nlimlea malezi bora tena yenye nidham na heshima kubwa sana na nimjuavyo labda kama unamkuadiaga vinginevyo hafanyi.

Siku utakapomkuta magomeni na jimama la kidengereko ndipo utakapojua kuzaa si kupata
 
Basi hun.... hebu tangulia kitandani nakuja kukutoa huzuni my love.

attachment.php

Duuuuu huyu bi shost lazima atakuwa mrangi huyu lol ndio nini kujaza mavitambaa hivyo ?
 
Siku utakapomkuta magomeni na jimama la kidengereko ndipo utakapojua kuzaa si kupata

Akal platozoom, nitake radhi mimi na mama yangu mpenzi gfsonwin! Amenilea katika maadili mazuri sana na kamwe

siwezi kuharibikiwa kama unavyosema. Alinikuza katika njia inayofaa nami sitaiacha hata nitakapozeeka. Hujajua jinsi

alivyofanikiwa kujenga bond kubwa ya upendo wa kweli moyoni mwangu. Yupo akilini, rohoni, nafsini na mwilini mwangu

kiasi kwamba hata mawazo yakishetani yajapo nikimkumbuka yeye tuu baasi. Nakupenda sana mama yangu, wangu wa

moyo!
 
mwanangu Ronn M nakupenda sana na kamwe sitoacha kukuamini na kukupenda mwanangu mpenzi. nakumbuka jinsi nilivyokukuza hasa kimaadili sundayschool ulikwenda na kipaimara ulipata nimekulea na wewe ni mwimba kwaya kanisani. asikusemee uongo kabisa.

nakupenda sana mwanangu wa kwanza. upendo wako umeujaza moyo wangu. Nakupenda sana mwanagu.
 
Last edited by a moderator:
Ila school fees amelipa toka chekechea mpaka hapo alipofika mwanao lol !.....baba kwanza afu mama next !

wewe sweetlady baba yake Ronn M anampenda sana mwanaye na si kwamba hampendi hata kidogo.
na familia yangu inajua upendo tulio nao. Kaizer ma swtlo we love you soo much honey.
 
Last edited by a moderator:
Akal platozoom, nitake radhi mimi na mama yangu mpenzi gfsonwin! Amenilea katika maadili mazuri sana na kamwe

siwezi kuharibikiwa kama unavyosema. Alinikuza katika njia inayofaa nami sitaiacha hata nitakapozeeka. Hujajua jinsi

alivyofanikiwa kujenga bond kubwa ya upendo wa kweli moyoni mwangu. Yupo akilini, rohoni, nafsini na mwilini mwangu

kiasi kwamba hata mawazo yakishetani yajapo nikimkumbuka yeye tuu baasi.
Nakupenda sana mama yangu, wangu wa

moyo!

[QUOTE]mwanangu Ronn M nakupenda sana na kamwe sitoacha kukuamini na kukupenda mwanangu mpenzi. nakumbuka jinsi nilivyokukuza hasa kimaadili sundayschool ulikwenda na kipaimara ulipata nimekulea na wewe ni mwimba kwaya kanisani. asikusemee uongo kabisa.

nakupenda sana mwanangu wa kwanza. upendo wako umeujaza moyo wangu. Nakupenda sana mwanagu. [/QUOTE]

Ama kweli kuzaa si kulea
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom