Mama yangu hataki nioe

Mama yangu hataki nioe

flood

Senior Member
Joined
Jul 10, 2017
Posts
131
Reaction score
202
Habarini wana JF,
Mimi ni kijana ambaye nimeajiriwa sekta binafsi, nilikuwa na mahusiano na binti mmoja mpk sasa ni miaka mitatu na tumefanikiwa kupata mtoto mmoja.
Changamoto ilitokea kidogo kati ya mama na mkwe wake kama ambavyo inatokea kwa mama na bnt zake wa kike, sasa baada ya hapo mama akasema hataki kumuona huyo bnt tena ni bora nitume matumizi tuu na aliitisha kikao cha kumpinga huyu mzazi mwenzangu, baadae nilikubaliana nae ila nilikaa nikatafakari kwa mda nikaona mama yangu hataki nioe kwa sasa na wala haoni umuhimu wa mm kuwa na mke kwa personal interest zake anasema nikiwa na mke matumizi yatakuwa juu na sitamjali japo nilimkatalia maana nilipokuwa nae nikifanikiwa kwa haraka na kuna kipindi huyu Bnt alikuwa ananipa hela na ninampa Mama na mpk sasa nikipiga mahesabu sio chini ya 4 milion ila mama haelewi hilo....
Nilichokifanya nimemuita huyu dada tuishi na kulea mtoto wetu na ninahisi amani kama ni ndoa tutafunga baadae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Au anataka muwe kama yule wa binti ndembendembe huko Songea

''Aut Vincere Aut Mori''
 
naamini umeleta taarifa isiyo sahihi, ukimsikiliza vizuri mama ako utaelewa anachokushauri?

hakuna mzazi hataki mwanae apate mke na kutulia katika maisha.

your making ur mom to look wrong but from experience jiangarie ulipokosea
 
mkuu acha tu
 
You are/ your?

Ngoja faizafoxy aje!

brain is the beautiful part of the body.
 
Endeleemi kuzaa tu nyinyi ni familia na mzazi mwenzio amheshimu tu mama uko lakini akawa nae mbali kuna siku ataelewa simu baada ya wajukuu 3-4
 
Akina mama wa siku hizi wanalalamika mabinti zao wanachezewa wakati huohuo hawataki vijana wao waoe mabinti wa wengine.
Bi mkubwa wangu nae alipinga sana harusi ya kaka yangu kipindi fulani, ikabidi tucheze mchezo na mzee tukamwita shekh akamaliza mambo msikitini. "Harusi" ya kumridhisha bi mkubwa tutaifanya atapoacha kuweka pingamizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angemkataa huyo kwa sababu amekosana nae nisingetia neno lkn usioe yeyote ili tu asikose matumizi au unajiongezea majukumu, kwaiyo anataka yeye ndo akupe utamu wa kitandani hivi wamama wengine tukoje jamani, mama yako ni mchawi na ni malaya, samahani mkuu km nimekukwaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naamini umeleta taarifa isiyo sahihi, ukimsikiliza vizuri mama ako utaelewa anachokushauri?

hakuna mzazi hataki mwanae apate mke na kutulia katika maisha.

your making ur mom to look wrong but from experience jiangarie ulipokosea
Kweli kabisa pia angesema ni changamoto gani ilitokea mpaka wakatengana asiyafte kumpa makosa mama ake
 
Back
Top Bottom