Mama yangu hataki nioe

Mama yangu hataki nioe

mama n mwanga mchunguze vzr
.wengine visebu sebu.
Ni bora angemwambia tafuta mchumba mwingine oa...lkn sio kumwambia eti usioe matumizi yataongezeka yeye hatojaliwa...
Wamama wengi wanakuwaga hiv kwa vijana wao wakiume...wivuuu..na hapo bila shaka ugomvi kauanzisha mama ili binti atoke..
Maana si kwa suggestion hizo
 
Asante tofali kwa mujibu wa maelezo ya huyu kaka mama yake ana mengi maana kwa ninavyowajua wanaume sio rahisi kumsema mama yake ivo sababu ya mchumba na kumbuka alishakubali kumuacha pili kumridhisha bi mkubwa lkn akashtuka ameamua kumchukua kipenzi chake, mama ana roho mbaya inavyoelekea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naamini umeleta taarifa isiyo sahihi, ukimsikiliza vizuri mama ako utaelewa anachokushauri?

hakuna mzazi hataki mwanae apate mke na kutulia katika maisha.

your making ur mom to look wrong but from experience jiangarie ulipokosea
Huu ndo ukweli, kuna kitu nyuma ya pazia kinafichwa.
 
Labda ningewajibu wote wanaohisi nimekosea...
Kiujumla tumekaa kama familia na kutafuta ukweli na kuamua kumrudisha huyu mdada kwa kuangalia factors nyingi sana...pia nimejifunza mengi kwenye maisha na mahusiano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yaan siku zote mzaz akiweka pingamiz kwenye ishu za ndoa mara nying mitikisiko na kuwa kama ka'laana'
 
naamini umeleta taarifa isiyo sahihi, ukimsikiliza vizuri mama ako utaelewa anachokushauri?

hakuna mzazi hataki mwanae apate mke na kutulia katika maisha.

your making ur mom to look wrong but from experience jiangarie ulipokosea
Ukikua utajua mengi kwenye maisha na mahusiano hasa pale unapopenda ambapo wazazi hawapendi na hawajui ukweli wowote kuhusu mwenza wako pia sikulaumu kwasababu unajifunza kupitia kukosea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda ningewajibu wote wanaohisi nimekosea...
Kiujumla tumekaa kama familia na kutafuta ukweli na kuamua kumrudisha huyu mdada kwa kuangalia factors nyingi sana...pia nimejifunza mengi kwenye maisha na mahusiano

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitendo cha kumuacha kwa muda na ukachunguza na kumrudisha huyo dada, ni wazi mama yako ana gubu na hapendi wakamwana,

ninae ndg yangu wa karibu ana hiyo tabia najua inavyokuumiza na tegemea migogoro ktk mahusiano yenu, mimi huyu ndg yy akienda kutembea kwa mwanae sasa ile kupiga story anapiga nae chumbani kwa mwanae mkamwana haruhusiwi kuingia au abishe hodi kwny chumba chake mwenyewe kisa tu walipishana kidogo na mkamwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angemkataa huyo kwa sababu amekosana nae nisingetia neno lkn usioe yeyote ili tu asikose matumizi au unajiongezea majukumu, kwaiyo anataka yeye ndo akupe utamu wa kitandani hivi wamama wengine tukoje jamani, mama yako ni mchawi na ni malaya, samahani mkuu km nimekukwaza

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa mama kapiga mahesabu kaona ya nini mwanae ajisumbue kufuga ng'ombe wakati nyama na maziwa yamejaa tele mtaani.
Bimkubwa anataka kijana wake aenjoy ladha tofauti tofauti hapo kitaani.
Hapo bmkubwa ameupiga mwingi ila kijana ndo ameshindwa kumuelewa Liverpool VPN
 
Matatizo ya masingle mother's hayo. Anamuona kijana wake na kumchukulia kama mumewe na hence anamuonea wivu mkwewe. Mama anapokaa na kijana wake kwa muda mrefu wanalala wote kitanda kimoja hadi kijana anaongia miaka 10's ni hatari wanafikia kumfunga mama zipu ya nguo mgongoni jua mbele kuna matatizo na ndo haya.
 
Kuna watu wana wakamwana wapole jamani

Uingie chumbani kwangu eti kuongea na mwanao

Yelewiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Wewe na huyo mwanao mtaenda kusimukia mizimu ya kwenu!!!!!

Kwenye maisha Kuna mipaka jamani!!!
Kitendo cha kumuacha kwa muda na ukachunguza na kumrudisha huyo dada, ni wazi mama yako ana gubu na hapendi wakamwana,

ninae ndg yangu wa karibu ana hiyo tabia najua inavyokuumiza na tegemea migogoro ktk mahusiano yenu, mimi huyu ndg yy akienda kutembea kwa mwanae sasa ile kupiga story anapiga nae chumbani kwa mwanae mkamwana haruhusiwi kuingia au abishe hodi kwny chumba chake mwenyewe kisa tu walipishana kidogo na mkamwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushamuoa mtoro wa watu au ndio unaishi nae ukifanikiwa uende kuoa mke atakayemchagua Bi Mkubwa????
Habarini wana JF,
Mimi ni kijana ambaye nimeajiriwa sekta binafsi, nilikuwa na mahusiano na binti mmoja mpk sasa ni miaka mitatu na tumefanikiwa kupata mtoto mmoja.
Changamoto ilitokea kidogo kati ya mama na mkwe wake kama ambavyo inatokea kwa mama na bnt zake wa kike, sasa baada ya hapo mama akasema hataki kumuona huyo bnt tena ni bora nitume matumizi tuu na aliitisha kikao cha kumpinga huyu mzazi mwenzangu, baadae nilikubaliana nae ila nilikaa nikatafakari kwa mda nikaona mama yangu hataki nioe kwa sasa na wala haoni umuhimu wa mm kuwa na mke kwa personal interest zake anasema nikiwa na mke matumizi yatakuwa juu na sitamjali japo nilimkatalia maana nilipokuwa nae nikifanikiwa kwa haraka na kuna kipindi huyu Bnt alikuwa ananipa hela na ninampa Mama na mpk sasa nikipiga mahesabu sio chini ya 4 milion ila mama haelewi hilo....
Nilichokifanya nimemuita huyu dada tuishi na kulea mtoto wetu na ninahisi amani kama ni ndoa tutafunga baadae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wana wakamwana wapole jamani

Uingie chumbani kwangu eti kuongea na mwanao

Yelewiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Wewe na huyo mwanao mtaenda kusimukia mizimu ya kwenu!!!!!

Kwenye maisha Kuna mipaka jamani!!!
Kuna mama wakwe Ni zaidi ya mashetani
 
Back
Top Bottom