zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,039
- 3,613
bora kulogwa kuliko kunyimwa uhuru[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wazazi wa kike bwana mkuuu me nilimpa mama yangu smartphone Na nikamfungulia fb account Na WhatsApp pamoja Na Instagram nilijutaa ukiaplod picha anakoment mh, napita, itoe mbaya ohoooo nikaona isiweshida nikamblock atulie