Mama yangu anamtaka mchumba wangu

Mama yangu anamtaka mchumba wangu

Mchebe

Member
Joined
Jul 20, 2013
Posts
30
Reaction score
4
Naombeni mchango wenu wana jf ili niweze msaidia huyu rafiki yangu. Anaitwa jane ni rafk yangu yapata miezi 5. Lakini juzi amenistajabisha aliponipa habari hii ya kusisimua, "mama yangu anamtaka mchumba wangu". Nilistuka sana kusikia hivyo. lakini nilijaribu kumuuliza yeye anaushaidi gani kuhusu jmbo hilo akasema hivi, nanukuu "mika ndio ameniambia na namumini xana hawezi kunidanganya hata siku moja, hususana kwa jambo kama hili" na pia akasema siku hizi mama yake amekua akimkaripia kuhusu mahusiano yake. Nilijaribu kumshauri lakini inaonekana amesha athirika kisaikolojia, imefiki kiasi kwamba anamchukia mama yake kupita kiasi. Ushauri wenu tafadhali. Maoni yangu: jamani akina mama na baba zetu tunao tamani wapenzi wa watoto zetu hamuoni mnakosea. Hebu tuweni na haya hata kidogo jamani basi kwa sababu haileti picha nzuri kwa family hata jamii. Tubadilikeni
 
sasa hii biashara ya sisi kukupa wewe ushauri umpelekee rafiki yako inachosha

angetaka ushauri angekuja yeye mwenyewe
 
Ishu nikwamba, yeye hana access ya kuingia humu. Ila ukiniambia ujumbe utakuwa umefika> The boss
 
Msaidie ili aweze kuingia JF atauliza mwenyewe pia itakuondolea usumbufu ambao ungeupata.
 
Naombeni mchango wenu wana jf ili niweze msaidia huyu rafiki yangu. Anaitwa jane ni rafk yangu yapata miezi 5. Lakini juzi amenistajabisha aliponipa habari hii ya kusisimua, "mama yangu anamtaka mchumba wangu". Nilistuka sana kusikia hivyo. lakini nilijaribu kumuuliza yeye anaushaidi gani kuhusu jmbo hilo akasema hivi, nanukuu "mika ndio ameniambia na namumini xana hawezi kunidanganya hata siku moja, hususana kwa jambo kama hili" na pia akasema siku hizi mama yake amekua akimkaripia kuhusu mahusiano yake. Nilijaribu kumshauri lakini inaonekana amesha athirika kisaikolojia, imefiki kiasi kwamba anamchukia mama yake kupita kiasi. Ushauri wenu tafadhali. Maoni yangu: jamani akina mama na baba zetu tunao tamani wapenzi wa watoto zetu hamuoni mnakosea. Hebu tuweni na haya hata kidogo jamani basi kwa sababu haileti picha nzuri kwa family hata jamii. Tubadilikeni
Huyo mchumba wa binti ana umri gani?? inawezekana kabisa kwamba huyo mwanaume ni mkubwa kiumri kiasi cha kuonekana anatifi vizuri kwa mama mtu...
Mwambie rafiki yako amwambie mchumba wake asiwe anakujakuja nyumbani, halafu asiwe na mawasiliano na mamkwe wake, pia amdanganye mamake kwamba ameshaachana nae walau kwa kipindi fulani ili mama aone wamekosa wote, na huku akiendelea kuongea vizuri na mamake..!!
 
Naombeni mchango wenu wana jf ili niweze msaidia huyu rafiki yangu. Anaitwa jane ni rafk yangu yapata miezi 5. Lakini juzi amenistajabisha aliponipa habari hii ya kusisimua, "mama yangu anamtaka mchumba wangu". Nilistuka sana kusikia hivyo. lakini nilijaribu kumuuliza yeye anaushaidi gani kuhusu jmbo hilo akasema hivi, nanukuu "mika ndio ameniambia na namumini xana hawezi kunidanganya hata siku moja, hususana kwa jambo kama hili" na pia akasema siku hizi mama yake amekua akimkaripia kuhusu mahusiano yake. Nilijaribu kumshauri lakini inaonekana amesha athirika kisaikolojia, imefiki kiasi kwamba anamchukia mama yake kupita kiasi. Ushauri wenu tafadhali. Maoni yangu: jamani akina mama na baba zetu tunao tamani wapenzi wa watoto zetu hamuoni mnakosea. Hebu tuweni na haya hata kidogo jamani basi kwa sababu haileti picha nzuri kwa family hata jamii. Tubadilikeni

kusema mika amemwambia2 haitoshi ndugu, sasa amemwambia nn? ongea ki2 watu wajue kweli kuna dalili za jamaa kupendwa lakini ukisema2 eti mika amemwambia sana sana sisi tutamuona kichaa2.
 
Zali la mentali...lilitokea wakati mimi nina njaa..nikapendwa na demu mkali..
 
Umenikumbusha tukio la ndugu yangu mmoja. Alikuwa na bf tena mume wa mtu. Bf anampiga na kuuza vitu vyake vya ndani kama tv na redio. Dadake akaambiwa akaanza kumuonya mdogo mtu na akamconfront mwanaumr. Mwanaume alimuambia gf wake dadako ananitaka na nimemkataa. Huyo shosti alijitenga na familia nzima, na alipigwa hadi kufa!

Yaani unamuamini mwanaume over your mother! Kua uyaone maghorofa na fly overs
 
Umeongea ukweli tupu! tatizo ni kwamba wadada wa kisasa hawawezi kabisa kugundua uongo wa wanaume! kwanza huyo mwanaume anaanzaje kukuambia uchafu km huo? ni kwamba anataka kukugombanisha na mama yako! hapo hakuna mwanaume hapo! labda mwanaume anajua wazi kuwa mama wa binti ana data zake chafu, na amejua mama anaweza kumpa data mwanae,so anatengeneza mazingira wagombane na wachukiane ili bi dada akipewa data aone mama muongo anamtaka bwanake!
 
Naombeni mchango wenu wana jf ili niweze msaidia huyu rafiki yangu. Anaitwa jane ni rafk yangu yapata miezi 5. Lakini juzi amenistajabisha aliponipa habari hii ya kusisimua, "mama yangu anamtaka mchumba wangu". Nilistuka sana kusikia hivyo. lakini nilijaribu kumuuliza yeye anaushaidi gani kuhusu jmbo hilo akasema hivi, nanukuu "mika ndio ameniambia na namumini xana hawezi kunidanganya hata siku moja, hususana kwa jambo kama hili" na pia akasema siku hizi mama yake amekua akimkaripia kuhusu mahusiano yake. Nilijaribu kumshauri lakini inaonekana amesha athirika kisaikolojia, imefiki kiasi kwamba anamchukia mama yake kupita kiasi. Ushauri wenu tafadhali. Maoni yangu: jamani akina mama na baba zetu tunao tamani wapenzi wa watoto zetu hamuoni mnakosea. Hebu tuweni na haya hata kidogo jamani basi kwa sababu haileti picha nzuri kwa family hata jamii. Tubadilikeni

badirisha hayo maneno ndio ntatoa ushauri............

unataka kubadirika na nani?

kweli wewe unajua kunukuu mpaka majina umeweka......
 
Umeongea ukweli tupu! tatizo ni kwamba wadada wa kisasa hawawezi kabisa kugundua uongo wa wanaume! kwanza huyo mwanaume anaanzaje kukuambia uchafu km huo? ni kwamba anataka kukugombanisha na mama yako! hapo hakuna mwanaume hapo! labda mwanaume anajua wazi kuwa mama wa binti ana data zake chafu, na amejua mama anaweza kumpa data mwanae,so anatengeneza mazingira wagombane na wachukiane ili bi dada akipewa data aone mama muongo anamtaka bwanake!

mmh! Inawezekana lakini me sina uhakika. Ngoja nijaribu kumdadic tena then nitale feedback tena. thnx
 
Story ya Uongo au wewe ndio unamtaka mchumba wa mwanao na hapa unatafuta ushauri.
 
wewe una umri gani? , wakati ujao jatahidi kuweka mwandiko mzuri.

jane ana umri gani? na anafanya kazi gani?

mika ana umri gani? na anafanya kazi gani?

mama jane ana umri gani?
 
Back
Top Bottom