Mama yangu ana matatizo sana, anavuruga familia yetu

Chunguza biashara ambayo alikuwa anafanya mama yako akiwa huko mjini.. Nina iman uchungu wa hyo kaz ndo chanzo cha kisiran kwa watoto wake..
Nafikiri hakuwa na kaz nzur huko mjini.. Kuna tukio la ajabu amekutana nalo.. Yupo mmoja wa aina hyo huku mtaan kwetu..
 
Hapana mkuu nakaa mbali naye, lakini huko huko ananiwashia Moto wa hatari. Yaani ukiona simu yake ujue ni shali, hata siku moja hapigi simu kwa wema.
Ningekuwa naishi naye karibu sijui ingekuwaje mkuu. Kwa ufupi kwa umri wangu wa miaka 34 sijawahi kukaa naye kwa wakati Mmoja zaidi ya mwezi!
Then cut her off.
Unajua it is soooo draining when unafanya kila jitihada being a nice person.
Unafanya yale yanafanyika kibinadamu.
Unaonesha upendo, na kila siku upendo huo unakuwa hautoshi zaidi ya lawama.

Unamaliza nguvu sana.
Sasa kiukweli kabisa mimi hapa ningemblock na nikaishi kana kwamba hayupo.
Fact is hakuwepo kwenye maisha yako mpk hapo ulipo.

And nikwambie tu mama yako ANAKUCHUKIA!!!
Ndani yake anakulaumu kwa mambo mengi yaliyomkuta kwenye maisha yake

Ndo mana wewe sio fav kid.
Anakuassociate na kuondoka baba yako.
Anakublame kwa ndoa yake kuvunjika.
Pengine baba yako sio baba yako mzazi.
Pengine you are zao la makosa yaliyomuondoa baba yako.

Kuna a very big box of pandora hapo nyuma.
Na hauko tayari kulivaa!

Cut her off na uendelee na maisha.
 
Daa
Then cut her off.
Unajua it is soooo draining when unafanya kila jitihada being a nice person.
Unafanya yale yanafanyika kibinadamu.
Unaonesha upendo, na kila siku upendo huo unakuwa hautoshi zaidi ya lawama.

Unamaliza nguvu sana.
Sasa kiukweli kabisa mimi hapa ningemblock na nikaishi kana kwamba hayupo.
Fact is hakuwepo kwenye maisha yako mpk hapo ulipo.

And nikwambie tu mama yako ANAKUCHUKIA!!!
Ndani yake anakulaumu kwa mambo mengi yaliyomkuta kwenye maisha yake

Ndo mana wewe sio fav kid.
Anakuassociate na kuondoka baba yako.
Anakublame kwa ndoa yake kuvunjika.
Pengine baba yako sio baba yako mzazi.
Pengine you are zao la makosa yaliyomuondoa baba yako.

Kuna a very big box of pandora hapo nyuma.
Na hauko tayari kulivaa!

Cut her off na uendelee na maisha.
Ni ni hatari Sana. Yaani ukifanya kitu kwa 99% ukakosea 1% yeye atasimama na hiyo 1% na itafuta vyote ulivyofanya vizuri. Lakini hata ukifanya Jambo ambalo unaona ni jema yeye atafanya kila linalowezekana kulifanya si la maana. Kwa ufupi ni very complicated.
 
Daa

Ni ni hatari Sana. Yaani ukifanya kitu kwa 99% ukakosea 1% yeye atasimama na hiyo 1% na itafuta vyote ulivyofanya vizuri. Lakini hata ukifanya Jambo ambalo unaona ni jema yeye atafanya kila linalowezekana kulifanya si la maana. Kwa ufupi ni very complicated.
Niamini mimi .
Cut her off your life.
Huwezi kuishi na mtu kila siku doesn't appreciate the effort you are making.

Hata kama ni ndogo kiasi gani, let alone the 99%.
Nkt.
 
Pole sana kwa masahibu ya mama yako, huyo ni mama tu kakuleta duniani, nazani huyo Bibi yako aliyekulea ndiyo umpe kipaumbele huyo mama mchukulie hivyo hivyo wala usiumize kichwa juu yake, kama Baba yako alimkimbia na kuacha watoto itakuwa ya wewe? Miaka yote hiyo kama yupo na tabia nzuri si angewaletea hata Baba mdogo? (Jokes ) ila mara nyingi tabia za hivyo huwa zina kauchawi au ndiyo ushirikina uwe makini naye, kama huyo dada yako mwambie asisubutu kuuza nyumba yake nakwenda kuishi kwenu huko atajuta kuja duniani apambane huko huko, na huyo mtoto wa dada kama inawezekana mtafutie shule karibu na kwa Bibi yake huyo ndiye mlango umbea wote ndiye WiFi networks yake na kuona mkeo anafaidi tudisha kwa mama yake aende kwa Baba yake, hapo utaishi kwa amani, pole tena.
 
Kuna wazazi ni changamoto sana.Pole sana mkuu.
Ila naona mama yako ni tatizo la kisaikolojia ndilo linalomsumbua.Kama unaweza mpeleka kwa wataalamu fanya hivyo.Pengine imechangiwa na changamoto alizopitia.
Weeee utamnyanyua mama kama huyo ukampeleke kwa mwanasaikolojia unajitafutia moto? Wamama wahivyo wapo wengi sana huona kama wao ndiyo wanastahili kwanza kabla ya kijana wake wala mkewe,na huona mkwewe ndiye anafaidi sana matunda ya mwanaye badala ya yeye!
 
Mkuu tunatamani Sana. Kukaa na kuzungumza lakini tatizo tunakosa mtu anayeweza kusimama katikati. Mama amegombana na kila mtu mtaani, tangu arudi happy nyumbani hata majirani hawakanyagi tena wakati zamani palikuwa hapaukaukiwi watu, kwakuwa Bibi ni mtu alikuwa anapenda Sana watu.
Kanisani haendi kwakuwa aligombana na Mkurugenzi wa Kanisa. Mama na Bibi wanakaa wawili tu lakini huwezi amini kila mtu ana chungu chake.
Shida kubwa ni huyo mtoto wa nje yeye hataki ni mhudumie Kama mwanangu, na Mimi siwezi,ukizingatia historia ya maisha yangu. Lakini pia hamtaki mke niliyeamua kumuoa japo hajawahi kumuona na Wala hamjui. Ugomvi upo apo. Japo kuanzia zamani sikuwahi kuwa a favauritw kid kwake, lakini pia huwa anasema Bibi ametulea vibaya. Badala ya kumshukuru yeye anamnanga. Kwa ufupi na umri huu, kunifokea na kuniita mjinga kwake ni jambo la kawaida Sana!
Mwanga huyo wewe kuwa mchamungu mtegemee Mungu utakuwa na amani, sasa kama yake kashindwa kula naye huyo mkeo? Sasa alitaka umuoe nani? Eneo la Bibi alilouza je ulisha mnunulia jingine? Na Huyo mtoto wa ujana wako lea kama unaweza kuishi naye kaa naye, wamama wengi yeye kama ndoa yake ilimshinda na aliishi kwa misukosuko huona poa na watoto wao waishi hivyo hivyo, kuwa makini naye.
 
Mkuu Mtandaoni nako Kuna watu wana wametoa michango yao.
Kama umesisoma vizuri tumewashirikisha wachungaji wametuomba Na zake za simu tumewapa, wamejaribu lakini wapi, mwisho wakashauri tufanye tu Maombi. Mzee atashauri Nini mkuu. Hapa nimeandika machache. Mzee baada ya mda alirudi kwao and akatafuta wafu kwenda kusalimia ukweni yaani akamuone Mama. Alifukuzwa kama mbwa. Unategemea atashauri nini.
Ni kweli ila kwa namna nilivyolelewa na kusoma I feel obliged kuwasaidia pia ndugu zangu japo siyo lazima.
Ukinisoma kwa makini utanielewa.

Haujafanya vibaya kusaka ushauri hapa.

Aina yangu ya kuchangia ni ngeni kwa wengi
 
Back
Top Bottom