Mama yangu ana matatizo sana, anavuruga familia yetu

Sasa Kama hata wanaume wanamuogopa Nani atathubutu? Ushaambiwa wanamuita mjeda
Hakuna biskuti ngumu mbele ya mate...

Nyuki na ukali wake wote watu tunakula asali, Simba na ukali wote lakini ana familia
 
Hili Jambo linamuumiza sana Sista yangu, anasema huyu ndio alipaswa kuwa rafiki yake na pale anapokuwa na Changamoto au chochote awe wa kwanza kushare naye, lakini wapi!
Wapo wengi sana mama hivyo ukishamjua puuza wanakuwa na mambo ya siri huwezi mfanyia mwanao mambo ya ajabu ajabu mpaka akose amani badala ya mzazi kumsaidia amani, muombe sana Mungu na mkeo asiwe karibu sana kivile .
 
Amani haiji ila kwa ncha ya upanga. Kuna wakati inabidi kumuumiza ili atambue umuhimu wa amani. Hakuna asiyetambua thamani ya mama, ila mama asiyeitambua thamani yake dawa yake ni kumzingua tu halafu baadaye akistuka atatafuta muafaka ye mwenyewe. It begins with her, ajiheshimu kwanza ili na yeye apewe heshima inayomstahili. Mzazi asiyejiheshimu ni janga
Haelewi huyo, mi huwa nasema hivi, mama yako akikupa heshima Basi mshukuru Mungu maana hakuna mtihani mgumu km kupewa mama asiyejua kuact km mama,,huyo uliyemquote hawezi kuelewa zaidi anamuona mtoa mada Kama amepotoka tu
 
Hata asiumie kabisa huo urafiki aufanye na wewe kaka yake au wadogo zake nk vinginevyo ataumia sana mi nilipata sonona kabisa presha juu ila nilivyoanza kumpuuza akuu Niko poa,,
Hili Jambo linamuumiza sana Sista yangu, anasema huyu ndio alipaswa kuwa rafiki yake na pale anapokuwa na Changamoto au chochote awe wa kwanza kushare naye, lakini wapi!
 
Aise, shukrani kwa maneno kuntu. Wakati mwingine hasa ukizingatia we don't have experience ya kuishi na wazazi, huwa inafika point tunawaza labda that is how it ought to be. Kuwa subjected to your parents even at an old age. Daa ni hatari Sana.
Hata asiumie kabisa huo urafiki aufanye na wewe kaka yake au wadogo zake nk vinginevyo ataumia sana mi nilipata sonona kabisa presha juu ila nilivyoanza kumpuuza akuu Niko poa,,
 
Aiseee nadhani kuna watu tunavichwa tofauti maisha tunaishi mara moja tu hapa dunia bila kujali ni mama wala baba sitaki mtu anipe stress za maisha kiufupi ishi maisha yako huyo mama yako fanya kuwasiliana nae na kumpa msaada pale anapoitaji tu sio kujipendekeza kama akili itamrudi atakukumbuka wazazi kama hao hata wakupe laaani hazishiki
 
🙏🙏🙏🙏
 
Aise, shukrani kwa maneno kuntu. Wakati mwingine hasa ukizingatia we don't have experience ya kuishi na wazazi, huwa inafika point tunawaza labda that is how it ought to be. Kuwa subjected to your parents even at an old age. Daa ni hatari Sana.
Kwasababu ni wengi wako proud na mama zao ndo maana sie wachache ambao mama zetu hawatupi mapenzi Basi huwa tunajiona kuwa na mikosi, lakini tukiona Ni sehemu tu ya maisha na tukalipokea aaaahh unaona kawaida tu
 
Haelewi huyo, mi huwa nasema hivi, mama yako akikupa heshima Basi mshukuru Mungu maana hakuna mtihani mgumu km kupewa mama asiyejua kuact km mama,,huyo uliyemquote hawezi kuelewa zaidi anamuona mtoa mada Kama amepotoka tu

Kuna siku niliita uber, nikapanda. Dereva alikua ni kijana ambaye saa zote katika safari yetu alikua ni mtu mwenye mawazo mengi mno. Nikawa najitahidi kumuongelesha angalau kumfanya asijisikie mpweke japo sikumuuliza kinachomsibu. Katika kupiga story akaanza kufunguka anavyofanyiwa na mama yake na jinsi ambavyo amekua akijitahidi kumtunza na kumuhudumia lakini mama yake anachukulia poa tu. Alifunguka mengi mpaka nikamuhurumia. Aisee kuna akina mama wengine ni pasua kichwa kabisa
 
Ni mtihani sana Mkuu
 
Acha polojo mkuu
Kamchukulie dogo kijijini alelewe na mkeo .
Tengeneza mazingira ya kumjulia hali bibi yako na kumsaidia pale unapoweza.

Funga tinted kwa snitch yoyote including yo maza.

Muda na kero utakazozipunguza ukusaidie kutafuta maendeleo na hakikisha haufanyi makosa waliyotenda wazazi wako ili kutoruhusu historia kujirudia
 
Kuna siku niliita uber, nikapanda. Dereva alikua ni kijana ambaye saa zote katika safari yetu alikua ni mtu mwenye mawazo mengi mno. Nikawa najitahidi kumuongelesha angalau kumfanya asijisikie mpweke japo sikumuuliza kinachomsibu. Katika kupiga story akaanza kufunguka anavyofanyiwa na mama yake na jinsi ambavyo amekua akijitahidi kumtunza na kumuhudumia lakini mama yake anachukulia poa tu. Alifunguka mengi mpaka nikamuhurumia. Aisee kuna akina mama wengine ni pasua kichwa kabisa
Kama zilivyo alama za vidole ambavyo havifanani na yeyote ndivyo changamoto za kimaisha zinavyotofautiana,

Mwanzo niliishi Kama huyo dereva sababu nilithamini furaha ya mwingine kabla yangu ila kwasasa nazingatia sana furaha na amani ya nafsi yangu, na ninaishi kwa raha mustarehe
 
Kwasababu ni wengi wako proud na mama zao ndo maana sie wachache ambao mama zetu hawatupi mapenzi Basi huwa tunajiona kuwa na mikosi, lakini tukiona Ni sehemu tu ya maisha na tukalipokea aaaahh unaona kawaida tu
Aaaah wapi best, watu wanaigiza wewe!

Mi kuna marafiki kibao wazazi wao wanazinguana nao lakini cheki status insta kama mc pilipili
 
Kuna siku niliita uber, nikapanda. Dereva alikua ni kijana ambaye saa zote katika safari yetu alikua ni mtu mwenye mawazo mengi mno. Nikawa najitahidi kumuongelesha angalau kumfanya asijisikie mpweke japo sikumuuliza kinachomsibu. Katika kupiga story akaanza kufunguka anavyofanyiwa na mama yake na jinsi ambavyo amekua akijitahidi kumtunza na kumuhudumia lakini mama yake anachukulia poa tu. Alifunguka mengi mpaka nikamuhurumia. Aisee kuna akina mama wengine ni pasua kichwa kabisa
Ukimuendekeza umeishaa
 
Back
Top Bottom