Mama yake Wema Sepetu unajishushia heshima

Huyu mama leo kanichekesha pia eti anamwambia soud nikueleze wewe kama nanii etii mm naongea na baba ake sio man fongo jaman wasanii ni wengi tuu ila huwa mama zao hawaongeii ,huyu mama ilipaswa mambo mengine akipigiwa simu awe anakata tuu simu asijibu lolote lile ili heahima yake iwepo ila kuongea kwenye media utamchapa soudy wewe jaman hiv ni vitukoo
hajielewi huyo alaf anaonekana ni mrahisi sana ukimuomba gemu
 
Leo mama wema nimekushusha huku mtaani kwetu tunasema nimekushusha vyeo yaani heshima nimesikiliza mahojiano yako na Soudy Brown wa Clouds fm muda huu nimeshangaa unavyopayuka kuhusu ugomvi wa mwanao na Man Fongo hata haingii akilini kwa kuchukua maneno ya kuambiwa ndo kuwa source yako kubwa kuamini na kuongea maneno ambayo hata mwanao angeongea ningemdharau ila umekuja kuongea wewe naona bado ujauzoea umaarufu we ni mtu mzima unatakiwa ujiepushe na mambo hayo ya kitoto mana hata mwanao ni binadamu na anakosea sijapenda kabisa
KWANI ANA HESHIMA GANI........?
 
Mlikuwa mnatukana sana wema mlikuwa hamjui akilli yake imetoka wapi? sasa nadhani mmeshafahamu wazimu wa wema unaanzia wapi
 
Leo mama wema nimekushusha huku mtaani kwetu tunasema nimekushusha vyeo yaani heshima nimesikiliza mahojiano yako na Soudy Brown wa Clouds fm muda huu nimeshangaa unavyopayuka kuhusu ugomvi wa mwanao na Man Fongo hata haingii akilini kwa kuchukua maneno ya kuambiwa ndo kuwa source yako kubwa kuamini na kuongea maneno ambayo hata mwanao angeongea ningemdharau ila umekuja kuongea wewe naona bado ujauzoea umaarufu we ni mtu mzima unatakiwa ujiepushe na mambo hayo ya kitoto mana hata mwanao ni binadamu na anakosea sijapenda kabisa
Hata iweje jee wewe unaweza kumwambia mama yako kuwa 'anapayuka??' kwa watu wa pwani huo ni ukosaji wa adabu uliopindukia. Hivi hakuna mbadala wa maneno ambayo ungeweza kuyatumia??? au kwa vile ni mama wa mwenzio???
Ujue ulilolifanya ni sawa na kumwambia hivyo mama yako
 
Huyu maza kuna video niliona anaongea kwenye shughuli nadhan ilikuwa bday ya Wema...ni aibu sana
 
Leo mama wema nimekushusha huku mtaani kwetu tunasema nimekushusha vyeo yaani heshima nimesikiliza mahojiano yako na Soudy Brown wa Clouds fm muda huu nimeshangaa unavyopayuka kuhusu ugomvi wa mwanao na Man Fongo hata haingii akilini kwa kuchukua maneno ya kuambiwa ndo kuwa source yako kubwa kuamini na kuongea maneno ambayo hata mwanao angeongea ningemdharau ila umekuja kuongea wewe naona bado ujauzoea umaarufu we ni mtu mzima unatakiwa ujiepushe na mambo hayo ya kitoto mana hata mwanao ni binadamu na anakosea sijapenda kabisa

"Kuna watu wamekomaa mwili na miaka mingi,ila ni watoto kiakili"
 
Back
Top Bottom