Mama yake Ange Kagame

Mama ni mzuri kuliko binti, ebu fikirieni alipokuwa miaka 25, huyu mama alikuwaje? Ila wasichana wa Kirwanda, miguu kama magogo.
 
Mungu Mweke JK na familiya yake, Maana hadi PRINCE CHARLES kumuinukia Princess wetu !!! Hongera Tanzania.
 
Watutsi wana sura nzuri sema wanatabia ya kudharau makabila mengine,mfano mzuri ni hali ya mambo huko Rwanda na Burundi hawataki kuongozwa na wahutu ambao ndio kabila kubwa both Rwanda and Burundi.

Na roho mbaya pia
 
Sio uzuri kama baba yake tu bali hata akili ni kama baba yake!!!
Kwahiyo na yeye atakuwa mbunge wa msoga, Kisha atakuwa waziri na baadae rais!!!!!!??????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…