Mitaa ya uswazi huko, mzee mmoja alipita huku akipiga mayowe "mama weeee...mama wee..". Majirani wakatoka nje mbio mbio wakiwa na wasi wasi kimempata nini mtu mzima huyu!!
MAJIRANIπwakishangazwa na hali ya kawaida tu ya mzee huyo) Baba kwani vipi?
MZEE: Natengeneza mbuzi mbovuuuu!!!!
MAJIRANIπFull kusonya na mitusi kibao)