Mama watoto kagomea uzazi wa mpango

Mama watoto kagomea uzazi wa mpango

Kama vipi fungeni wote mkuu. Labda ndo mkeo anachoogopa - afunge yeye then wewe uendelee kupachika mimba ''za ajari'' wanawake wengine
 
Usijaribu kutoa maana kizazi kimebeba tabia za mwanamke alizonzo mf sauti nyororo,kupata hedhi,nk hayo utayakosa bora akafunge miraji ya kizazi au wewe wakafunge.
Halafu usiwaite wAtoto wako hivyo.
 
Last edited by a moderator:
Naanza kuamini maneno ya The great Confucius.... Education was inverted by Satan....hili Giza na mwanga vikutane.
 
mkeo ana akili sana na anajipenda....pongezi kwake na asimamie msimamo huo huo..
Nyie msifieni tu mwanamke mwenzenu lakin ikumbukwe ITV yeye ndio atakeenda na watoto kuomba msaada wasamalia wema kumchangia.
 
mi nakushauri kama ye hataki wewe kafunge hata wanaume huwa wanafunga uzazi kila kitu mwanamke tu heee,chukueni hata hilo basi mtupunguzie zigo
 
Nimekumbuka dada mmoja toka Bangladesh ni feminist anafanya PhD kuhusu uzazi wa mpango...argument yake ni kuwa japo Bangladesh inatumiwa na Aid donors kama mfano wa kuigwa kwa kuwa asilimia kubwa ya wanawake wanatumia aina moja au nyingine ya uzazi wa mpango yeye anaona ni unyanyasaji wa kijinsia...sababu wanawake wanalazimika/lazimishwa kunywa dawa daily au misindano inayowaletea karaha...

Yani siku alipotusimulia kuhusu research yake tukabaki midomo wazi akina sie tunaotokea Africa...maana mfano Bongo kuna wamama hawana hata huo uhuru wa kupanga watoto wanaowataka...hawa wamepewa uhuru wanalalamika...

Kazi sana...na yeye alikuwa ana suggest wababa wafunge vizazi...yeye kaolewa na mdhungu hapo....

Ila madawa siyo kabisa...sijawai tumia...na sijawai pata mtoto bahati mbaya ...kuweni na descipline

Kuna mdada amejifungua mtoto wa 5 huku mdogo ana less than a year...tulikuwa tunapiga story mi namwambia nina watoto wawili na nimemaliza...ananishangaa eti 'mumeo si ndio anayeamua'....I was like Whaaat??????? kuna wamama mab.wege....yani atazaa mpaka kizazi kiishe kisa mmewe ndio anayeamua...anyway mimi pia mume wangu hana ushamba huo...wote tumeridhika na vi boy vyetu...ila hata angetaka timu ya mpira asingepata aisee...sina kazi nyingine zaidi ya kuzaa...am a career woman bana

Mdada ukimuona kachoka...tulikuwa na gathering tukawa na intro, watu tunataja mpaka miaka yetu yeye ilipofika zamu yake anajichekesha...maana kweli ukimcheki huwezi kadiria umri wake mzee si mzee kijana si kijana...inasikitisha
 
Ni kwasababu umebahatika na viboy la sivyo gemu lingeendelea.Acha kuwapa vichwa wenzako
 
Siyo vichwa..mwanamke anayejitambua hawezi zalishwa kama anataga mayai...labda muoe hao wa darasa la saba kama mnavyoshauriana
 
Back
Top Bottom