Mama Wassira Aiaga CCM Rasmi....

Chaijuisi atamkana sasa hivi kama alivyowakana wale mabinti
 
nina wasiwasi katumwa si bure.chadema iwe makini na wanaotoka ccm. haswa katika kipindi hichi cha usaliti na mbio za kuelekea uchaguzi mkuu wa urais.

mkuu wala tusiwe na wasiwasi masalia, na wakutumwa wanajulikana kwa wazi kabisa...
 
Rachel Wassira ni mke wa George Wassira mmoja wa waasisi wa Chadema, ambaye pia ni Mkubwa wa Steven Wassira (waziri)...
Kwa hiyo habari ni jina la Wasira tu hata angekuwa ni mke wa Mzee Mtei?
 
Ni mungu gani aliyerafiki wa chadema wakati slaa alishamkosea mungu?

Mbona husemi na Mwigulu anavyomkosea mungu kwa kupanga mauaji na kuwachapa nao wake za makada wenzake?
 
Huyo Mama Rachel inabidi achukue tahadhari kubwa. Siku akikutana na MTUME wa CCM, Mtume Steven Massatu Wassira lazima ataambulia ngumi za kufa mtu. Maana huyo MTUME wa CCM anajulikana kwa jina jingine MIKE IRON TYSON.
 
Rachel Wassira ni mke wa George Wassira mmoja wa waasisi wa Chadema, ambaye pia ni Mkubwa wa Steven Wassira (waziri)...

Hilo tu ndo lifanye hbr kua kubwa?...jaman tumien akil c matope kabla ya kupost o kuchangia thread
 
kawaida ya cdm kupora wake za watu!
 
Huyo Mama Rachel inabidi achukue tahadhari kubwa. Siku akikutana na MTUME wa CCM, Mtume Steven Massatu Wassira lazima ataambulia ngumi za kufa mtu. Maana huyo MTUME wa CCM anajulikana kwa jina jingine MIKE IRON TYSON.

ni hatari sana kuondoka CCM.
ni hatari zaidi kuhamia Chadema.
kwani Maccm siyo wavumilivu hata kidogo
 
Kama mnakumbuka Mama Wasira ni miongoni mwa wale wagonjwa waliofadhiliwa na Vodacom foundation kwa kutibiwa Ugonjwa wa Fisitura pale CCBRT amepona tu juzi juzi!
Ikumbukwe pia Dr Slaa ni Mwenyekiti wa Bodi ya Hospital ya CCBRT na pia ni Katibu Mkuu Chadema
 
Na mim ni mama slaa mbona niliihama Chadema lol unaenda unapojisikia ukichoka unahamia upande mwingine
 
we ni muongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…