bila shaka hukosi hahahhahaAtaikamata nusu ya Tanzania.
Kuna Wazambia, Wamalawi, Wakenya, Warundi na wengine wengi wanaishi kama Watanzania kwa kuwa tu wanaongea Kiswahili vizuri.
Wengine wana nyadhifa nzuri tu serikalini.
Kuna sehemu inaitwa Nanyumbu🙂Hakuna wingi wa nyumbu
Manyumbu=nyumbu
Ulienda shule kuelimika au kutazama jengo?
Kuandika sentensi ndefu bila kuweka nukta ,Huko shule ulienda kujifunza ujinga?? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ataikamata nusu ya Tanzania.
Kuna Wazambia, Wamalawi, Wakenya, Warundi na wengine wengi wanaishi kama Watanzania kwa kuwa tu wanaongea Kiswahili vizuri.
Wengine wana nyadhifa nzuri tu serikalini.
Mimi napenda tuzeeke wote!Sipati nafasi?Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa, miaka 35 iliyopita.
Aje Tarime, RAIA wa nchi jirani wengi sana, pia Geita wapo wengi sana. Akitaka tumtajie akajiridhishe
hujuwi=hujui= vibali
Wewe ni Mtanzania? Mbona hujuwi kuandika lugha yako ya taifa kwa ufasaha?
n
bila shaka hukosi hahahhaha
Kwa hiyo !!! ?Ataikamata nusu ya Tanzania.
Kuna Wazambia, Wamalawi, Wakenya, Warundi na wengine wengi wanaishi kama Watanzania kwa kuwa tu wanaongea Kiswahili vizuri.
Wengine wana nyadhifa nzuri tu serikalini.
hujuwi=hujui
Jua ni mzizi, ikiwa na maana tambua au elewa. Maneno mengine yatokanayo na mzizi huo ni nakujua, simjui, sijuani, wanakujua, sikujua, nk.
Kwa jinsi sura yako ilivyo, wewe ni mhamiaji toka Rwanda.😀😀
Kwa hiyo !!! ?
Ombi langu kwenu enyi mnaowajua watu hao ni kutoa ushirikiano kwa mamlaka husika ili hatua zichukuliwe
Kuandika sentensi ndefu bila kuweka nukta ,Huko shule ulienda kujifunza ujinga?? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu kwa Arusha bila shaka unawalenga GUPTA.Hongera sana kamishna mpya wa uhamiaji kwa jitihada za mwanzo,maeneo in mengi yenye matatizo ya kiutendaji,,Leo umekamata passport ila wamiliki wa passport hawana vibal vya kazi ,ila maeneo yapo mengi kuna ,mikoa yenye changomoto za RAIA wa kigeni kuingia kinyemela na kuafanya kazi kinyume na sheria ni kama: 1.Arusha 2.Dar 3.mwanza mbeya !,kwa pale arusha kuna kampuni nyingi za wahindi wafanyakaz wa kigeni wapo bila vibali,na hata family member wao wapo nchini bila vibali,wwngine wamefikia mahotelini kwa kuogopa taarifa zao kujulikana kwa wananchi,uhamiaji arusha hawafany lolote yani kupiga deal na RAIA wa kigeni hao
Mimi napenda tuzeeke wote!Sipati nafasi?
Maana nikipitia kule jukwaa la Historia ukiwa na Mohamed Said ,naona tu mambo ya pwani na barizi la kokoro!
Tusaidiane kuukimbiza uzee kama jamvi bado lina nafasi
Nimecheka sana!Una matusi wewe bibi ni hatari!!Labda uje kama mke mwenza.
Kweli kabisa hili ni janga lakitaifaAtaikamata nusu ya Tanzania.
Kuna Wazambia, Wamalawi, Wakenya, Warundi na wengine wengi wanaishi kama Watanzania kwa kuwa tu wanaongea Kiswahili vizuri.
Wengine wana nyadhifa nzuri tu serikalini.
Hii operation napendekeza ifanyike nchi nzima na kwa wakati mmoja, ili wahamiaji haramu wasipate sehemu ya kukimbilia.Hongera sana kamishna mpya wa uhamiaji kwa jitihada za mwanzo,maeneo in mengi yenye matatizo ya kiutendaji,,Leo umekamata passport ila wamiliki wa passport hawana vibal vya kazi ,ila maeneo yapo mengi kuna ,mikoa yenye changomoto za RAIA wa kigeni kuingia kinyemela na kuafanya kazi kinyume na sheria ni kama: 1.Arusha 2.Dar 3.mwanza mbeya !,kwa pale arusha kuna kampuni nyingi za wahindi wafanyakaz wa kigeni wapo bila vibali,na hata family member wao wapo nchini bila vibali,wwngine wamefikia mahotelini kwa kuogopa taarifa zao kujulikana kwa wananchi,uhamiaji arusha hawafany lolote yani kupiga deal na RAIA wa kigeni hao
Dada acha Kiswahili cha Kariakoo utafelisha watoto kwenye mtihani wa NECTA maana wanakuaminia kama Kamusi😛😛Umesahau w katika Maneno yako yote uliyoyainisha. Huwezi kuyatamka kama utakavyo.
Wewe unaandika Kiswahili kilichosanifiwa, unajuwa maana ya sanifu?