Mama wa mtoto wangu ananishangaza

nafikiri usema miaka ya 90 haimaaninish 1990 inawezekana hayta 1999. na kama alikuwa ni kjana wa miaka 25 ni wazi kwamba huu ndo muda wake wa kuoa.

ushauri wangu, huyo mama mtoto hafai kuwa mkeo she looks as an opportunistic person. alikokuwa kumeungua ndo mana karudi kwako. mweleze kwamba you can't, and marry your new love. if possible take your kid.

Problem he's too old for such a question...au mwenzetu yeye anaongeza miaka na sio Experience? A man in late 30th must be such an experienced one na hawez uliza swali rahisi hivi mama!!!ndio maana wengi tunashtuka!!
 
This is JF bhana! Nice analysis....

Kama mlipata mtoto miaka ya 1990 na baada ya hapo kila mmoja akashika maisha yake in maana imepita miaka 22, kama ulikuwa na miaka 30 sasa una 50. Kama mama mtoto alikuwa na miaka 25 sasa ana 45, wewe unakuwa chungu cha ngapi ? Ni vizuri utulie na huyo uliye naye kuliko kurudi kwa mtu ambaye alikuona hafai, kama mtoto ndiye anakupenda, basi chukua mtoto wako; na sasa hivi tayari ni mtu mzima maana ana miaka 22 anafahamu anachokifanya.
 
Sasa mrudiane kisa mtoto anakupenda ama sababu na yeye anakupenda,na kukuchanganya kipi hapo we si uko na mtu mwingine ama bado wampenda wa zaman aliyekukimbia.
 
Mh, umeanza kushauri hivi, ndio maana kule kwa wazee hatukuoni kabisa...sababu ya wewe kutochombeza lile jukwaa, kwa sasa limepwaya kabisa na halitamaniki..utakuta vitu vya miaka hiyoooo...hakunaga jipya kabisa. hebu rudi bana!

Hahaha...
Haya bhana......!!!
 
ushawahi kula embe(huku ukiwa na njaa lakini hujijui)?unaanza unamenya maganda unaweka pembeni...unakula embe weee mpaka unakwangua kwoka....sasa hapo unagundua kuwa bado una kanjaa...ndiposa UNAPOYARUDIA MAGANDA NA KUANZA KUYAGUGUMIA KANA KWAMBA YANA THAMANI SANA ILHALI MWANZO ULIYATUPA!ndivyo alivyokufanya huyo mpenzi wako wa zamani.

kama embe lenyewe lingemshibisha basi kamwe asingelikula maganda!
 
hakuna cha kukuchanganya hapo mahusiano yenu yalikwisha kwa sasa unaye unayemuhitaji yeye hana nafasi
 
Back
Top Bottom