Mama wa mtoto wangu ananishangaza

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,889
3,412
Jamani duniani kuna mambo,mama wa mtoto wangu ambaye tulizaa wote miaka ya 90 nilimwomba tuoane akakataa kabisa na kuniambia nichukue ustaarabu wangu kwani amepata mpenzi wa kuishi naye milele na wanatarajia kufunga ndoa,eti akaniambia mimi na yeye tutalea mtoto tu hakuna jingine zaidi ya hilo,sasa amekuja tena baada ya muda mrefu na kuniambia anataka tuoane haraka sana eti mtoto wangu ananipenda,,jamani nachanganyikiwa kwa sababu nimeshaamua kuoa mwanamke mwingine ambaye tumeanza uhusiano muda na naona ananifaa kabisa kuishi naye,nifanye nini mimi mbona hawa wananwake wanatuchanganya hivi jamani,hii ni story ya kweli naombeni msaada,kwangu mimi sijisikii kabisa kuishi naye kwani alishanikatisha tamaa kwa kunipa vidonge vya kuumiza!
 
usihukumu wanawake wote!itakufanya ushindwe hata kuinjoy hilo penzi jipya !
 
mkuu huyu niliye naye nimeanza naye muda na nafikiri anafaa kabisa na nilishakata sahuri,sasa mama wa mtoto kuja kwa kushtukiza ananichanganya sana
 
see!?huyo naye ni mwanamke lakini si umeona?kwa hiyo wala huna sababu ya kutuweka wote kwny kapu moja,huyo mzazi mwenzio alishakutenda na kukataa kuolewa nawe mwanzo,muoe huyo uliyekwisha kata shauri naye,lakini je mtoto wako anaishi na nani?
 
Tupa kule huyo wa zamani, endelea na huyo mpya ambako hata wewe ndo umeridhika. Ila kule muendelee kulea mtoto wenu na jitahidi kumshirikisha huyo mpya kuhusu mtoto wako wa kule ulikotendwa na uwe muwazi.
 
Jamani duniani kuna mambo,mama wa mtoto wangu ambaye tulizaa wote miaka ya 90 nilimwomba tuoane akakataa kabisa na kuniambia nichukue ustaarabu wangu kwani amepata mpenzi wa kuishi naye milele na wanatarajia kufunga ndoa,eti akaniambia mimi na yeye tutalea mtoto tu hakuna jingine zaidi ya hilo,sasa amekuja tena baada ya muda mrefu na kuniambia anataka tuoane haraka sana eti mtoto wangu ananipenda,,jamani nachanganyikiwa kwa sababu nimeshaamua kuoa mwanamke mwingine ambaye tumeanza uhusiano muda na naona ananifaa kabisa kuishi naye,nifanye nini mimi mbona hawa wananwake wanatuchanganya hivi jamani,hii ni story ya kweli naombeni msaada,kwangu mimi sijisikii kabisa kuishi naye kwani alishanikatisha tamaa kwa kunipa vidonge vya kuumiza!

Your too Old for this Story....(Hapo kwenye Red) maana kama umezaa naye miaka ya 90, by now una umri gan mpaka unauliza like hapo kwenye Blue? u must be too old for such games!!
 
Weweeee acha woga, mwenzio amesha kutake for GRANTED ndo maana kila siku anabadili demands na anajua utacomply!!! For once be a man and TAKE CONTROL OF THINGS!!!!!! Have your way sio kufuata matakwa ya mama watoto wala demu mpya! Biblia inasema&nbsp;MWANAUME ni kichwa cha familia sasa hiyo kazi ukimuachia mkeo,ndo utashangaa jahazi linazama!<BR><BR>TENA KAMPIME MTOTO DNA MAANA HUKO MBELENI UTASIKIA HUYU MTOTO SI WAKO WALA NINI!!!! SEPA!!!!!
 
Akili kichwani mwako,na kwa upande wako kama ulivyosema humuitaji mueleze wala usi mumunye,kama yeye alikueleza wazi
wewe ushindwe nini?.............
 
Mbona jibu unalo sasa. Binafsi huwa naona muunganiko inayosababishwa na mimba/mtoto mara nying huwa haiwork ina matatizo mengi. Sikiliza moyo wako

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Umezaa naye miaka ya 90! mbona mzee! miaka 20+ unataka kuoana naye!! du! ana way angalia roho yako inavyotaka!
 
Mh, umeanza kushauri hivi, ndio maana kule kwa wazee hatukuoni kabisa...sababu ya wewe kutochombeza lile jukwaa, kwa sasa limepwaya kabisa na halitamaniki..utakuta vitu vya miaka hiyoooo...hakunaga jipya kabisa. hebu rudi bana!
eeeh bhana eeeh
Muulize MUNGU kwenye sala zako yupi ni mkeo....!
 
Kama mlipata mtoto miaka ya 1990 na baada ya hapo kila mmoja akashika maisha yake ina maana imepita miaka 22, kama ulikuwa na miaka 30 sasa una 50. Kama mama mtoto alikuwa na miaka 25 sasa ana 45, wewe unakuwa chungu cha ngapi ? Ni vizuri utulie na huyo uliye naye kuliko kurudi kwa mtu ambaye alikuona hufai, kama mtoto ndiye anakupenda, basi chukua mtoto wako; na sasa hivi tayari ni mtu mzima maana ana miaka 22 anafahamu anachokifanya.
 
Unaendeshwa tu kama gari bovu.. hauna msimamo wako binafsi?? kuwa na msimamo mtoto wa kiume, unakubalije kuwa second option??
 
nafikiri usema miaka ya 90 haimaaninish 1990 inawezekana hayta 1999. na kama alikuwa ni kjana wa miaka 25 ni wazi kwamba huu ndo muda wake wa kuoa.

ushauri wangu, huyo mama mtoto hafai kuwa mkeo she looks as an opportunistic person. alikokuwa kumeungua ndo mana karudi kwako. mweleze kwamba you can't, and marry your new love. if possible take your kid.
 
Weweeee acha woga, mwenzio amesha kutake for GRANTED ndo maana kila siku anabadili demands na anajua utacomply!!! For once be a man and TAKE CONTROL OF THINGS!!!!!! Have your way sio kufuata matakwa ya mama watoto wala demu mpya! Biblia inasema&nbsp;MWANAUME ni kichwa cha familia sasa hiyo kazi ukimuachia mkeo,ndo utashangaa jahazi linazama!<BR><BR>TENA KAMPIME MTOTO DNA MAANA HUKO MBELENI UTASIKIA HUYU MTOTO SI WAKO WALA NINI!!!! SEPA!!!!!
againLara 1.lolest!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom