Mama wa miaka 50 ananitaka

Case closed. Ulichesema kwenye conversation yenu ndio sahihi.
 
We mpelekeee moto tu........huyo sio Mzee kivile
 
Ila kweli. inawezekana anataka nyota yangu huyu mama , iweje tukutane kwa gari then baada ya siku kadhaa eti "nakupenda"
Ukiona mtu mzima hana haya muogope watu wazima wenye haya zao wanaaibu .
Nabuchukia muda kusema hisia zao hasa kwa wanaume za watu .

Mtu mshirikina haoni haya kwa maana ana roho tayari ya shetani imemtawala kama huamini kalale naye na nikupe miezi 3 huna tena hiyo biashara yako na utakuwa hausafiri tena upo upo tu na baada ya hapo atakutema
 
Dah , hii mpaka nimeogopa just imagine from no where siku ya pili tunachati eti i love you.

, i was really suprised.

Kwahyo mkuu wanachukuaje nyota ya mtu, nielezee kidogo mkuu samahani.
 
Kula Nyapu wewe. Wanakuwaga watam sana yaani wanany*ge kama bikra. Kula Mzigo huo
 

Hivi imekaaje mpaka roho chafu kuhusishwa na ngono?
 
Nikisomaga nyuzi za kukulana najikuta napatwa na msisimuko mkubwa wa kula mbususu 😋😋😋😋😋😋😋,
Sijui ni kwa Vile ninaukame wa kupata mbususu ya kuchakata
any way nakushauli usiharibu ujana wako kwa mwanamke alokuzidi miaka 20 Huyo ni sawa na mzazi, Sisi wanaume tunapitia majaribu mengi sana
 
Dah , hii mpaka nimeogopa just imagine from no where siku ya pili tunachati eti i love you.

, i was really suprised.

Kwahyo mkuu wanachukuaje nyota ya mtu, nielezee kidogo mkuu samahani.
Wewe wa wapi.. hivi vitu mbona vya kawaida sana..yaani mmekaa kwenye kiti kimoja kwa siku mbili halafu unashangaa.
 
asante mkuu. nimechukua ushauri
 
Dah opportunity hii dah!
 
Mkuu achana na huyo mama fanya mambo yako,usije beba magundu na laana.
 
Nimesoma kila Aya kwa uaminifu mkubwa, Hiki kizazi cheti ni bahati na sibu.
 
Ukishindwa kusolve issue ndogo kama hiyo utaweza nini? Block namba yake kisha ifute kwenye device zako zote. Akikutafuta kwa namba nyingine ukishajua tu kuwa ni yeye kata simu mara moja kisha usipokee tena.

Hayo unayaweza ikiwa tu Unasema ukweli wa moyo wako kuwa hutaki kumtoumber huyo mama, vinginevyo utafail
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…