Mama wa miaka 50 ananitaka

Nipe namba zake huyo dada mm ni mstaafu atanifaa maana nimempita miaka 10.
Ww kijana ukimnyandua ni kujitafutia laana ya bure kabisa tuachie sisi wazee wenzake tupimane uzoefu katika medani za fundi seremala.
 
Mbuss ya bure unaikwepa sijui unakwama wapi
 

Nyumba na gari vitamsaidia nini wakati atakua keshabeba laana, dhambi na mikosi ya kutosha kwa kulala na huyo mwanamke?

Riyan usimuangalie huyo mama kama yeye angalia msukumo wa hiyo roho ya kukutumikisha ulio ndani yake unaenda kutengeneza nini kwenye maisha yako

UFUNUO 2: 13; 19-22
Napajua ukaapo, ndipo penye kiti cha enzi cha Shetani; nawe walishika sana jina langu, wala hukuikana imani yangu, hata katika siku za Antipa shahidi wangu, mwaminifu wangu, aliyeuawa kati yenu, hapo akaapo Shetani.

Nayajua matendo yako na upendo na imani na huduma na subira yako; tena kwamba matendo yako ya mwisho yamezidi yale ya kwanza.
Lakini nina neno juu yako, ya kwamba wamridhia yule mwanamke Yezebeli, yeye ajiitaye nabii na kuwafundisha watumishi wangu na kuwapoteza, ili wazini na kula vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu.
Nami nimempa muda ili atubu, wala hataki kuutubia uzinzi wake.
Tazama, nitamtupa juu ya kitanda, na hao wazinio pamoja naye, wapate dhiki kubwa wasipotubia matendo yake;
 
Nyumba na gari vitamsaidia nini wakati atakua keshabeba laana, dhambi na mikosi ya kutosha kwa kulala na huyo mwanamke?
Anaweza kuikwepa hiyo mbususu kwa kuogopa dhambi ya uzinzi lakini ana midhambi mingine ya kutosha kabisa, akiamua kula ale tu maana kuna dhambi nyingine nyingi tu anazo na zinamsumbua nafsi yake. Mbususu tunazikimbia kwa sababu kadhaa ikiwemo maradhi na mizinga..otherwise kama ni laana huyo Eva alishaleta laana duniani long time sana.
 
Acha kupenda mtelezo
wanaume hatupo hivo
 
Mbona Mimi ninae kma Huyo hapa kijichi na namkamua kama kawa na umri wetu una range na wako...

Ila yeye huyu anapesa mid kazi yangu kupeleka moto tu.
 
Hayo maandiko ya kutunga yaliyobuniwa na wakoloni kwa maslahi yao binafs futa hapa.

Hicho kitabu mtumba unacho kinukuu ni sawa na kitabu cha kusadikika cha shaban robert.

Huwa nakerwa sana watu kama nyie na hivi vimaandiko uchwara mnavovileta kwa lengo kumtisha mtu na kumtia hofu,, hakuna cha ufunuo wala ufunguo
 
Yote 9 ....kwnza ni dhambi mwanamke akubembeleze mwanaume kisa kum gegeda ...dhambi kubwa sana hiyo ....tafta usiku moja weka bia zako kadhaa kichwani unampelekea moto tuone kama kesho atakusumbua tena kwanza atakuheshimu ..zingatia kipochi manyoya haisusiwagi kabisa

N:B
zingatia usalama wa afya na usafi wa mwili tu hakikisha hutembelei rimu
 
hivi inawezekana tukarudisha tena jando na unyago? pamoja wachache walikuwa wanakwenda lakini nini kilikuwa kinaelekezwa kilisaidia jamii kwa sehemu kubwa.
 
Nimekosa kabisa neno zuri la kukuita ila naomba niseme ivi ...AKILI YAKO IMEKOMAA KATIKA KUFIKIRI.... maandiko mengi ni nadharia yakutengeneza hofu ili kupunguza maasi duniani
 
Wacha bwana!!
 
Siwezi tongoza mwanaume ever.

Miaka 52 huyo ni dogo sana, sema tu wewe huna nguvu za kiume
Nilipiga mstaafu mmoja alikuwa anafuatilia mafao yake nssf nikiwa kijana kabisa nimetoka chuo,sasa huyu anasems eti miaka 50 ni mzer
 
Yaani we jamaa sijui ulikosea/kubuni namba baadae mmekuja kuonana unaliona zee unakuja kujifanya mwema,, aisee vijana acha uhuni ndo amekung'ang'ania sasa.
 
Wamama Kama hao ndo nawataka. Mpe namba yangu 0716 676060 nitamsugua vizuri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…