Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,591
- 31,128
- Thread starter
-
- #181
sawa mkuu, nimekuelewa.Ukishindwa kusolve issue ndogo kama hiyo utaweza nini? Block namba yake kisha ifute kwenye device zako zote. Akikutafuta kwa namba nyingine ukishajua tu kuwa ni yeye kata simu mara moja kisha usipokee tena.
Hayo unayaweza ikiwa tu Unasema ukweli wa moyo wako kuwa hutaki kumtoumber huyo mama, vinginevyo utafail
Dah asipoelewa na hii muacheni huyo mvulanaUkishindwa kusolve issue ndogo kama hiyo utaweza nini? Block namba yake kisha ifute kwenye device zako zote. Akikutafuta kwa namba nyingine ukishajua tu kuwa ni yeye kata simu mara moja kisha usipokee tena.
Hayo unayaweza ikiwa tu Unasema ukweli wa moyo wako kuwa hutaki kumtoumber huyo mama, vinginevyo utafail
Hawachoshi na shughuli wanaweza kweli kweli uzoefu unachangia.Mkuu ushawahi chakata maza wa miaka 50 kuendelea?
ilikuwaje?
sawa mkuu .asanteAina gani ya urafiki unao utaka kwake?
kuna nini utafaidika ukiwa karibu nae?
Wewe nikijana yeye ni mzee sasa huoni kama hamuendani?
Fuata kilichokupeleka huko braza familia bado inahitaji msaada wako,
[emoji28][emoji28][emoji28].... Au siyo boss?Vaa ndomu mkuu, kisha uichakate mbususu yake kwa weledi uliotukuka kisha achana naye
[emoji28][emoji28][emoji28].... Au siyo boss?
Nshachukua ushauri huo[emoji38]ndiyo mkuu
Hana hela !? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Havutii jmn , wakawaida sana
Kama Hana hela achana nae ni msumbufu tu [emoji28][emoji28][emoji28]mkuu huyu mama sijawahi kumuuliza kuhusu kipato ila naona ni kawaida si kwamba ana mpunga.
umeongea point" nile mzee na hana hela".
ntalifanyia kazi ikiwezekana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shida unaonekana kwake ni kama age yake... Yaani anakuona kama mzee mwenzie.
[emoji38][emoji38][emoji38]. Sijafuatiliaa mimiHana hela !? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kwahyo akiwa na hela siyo msumbufu??Kama Hana hela achana nae ni msumbufu tu [emoji28][emoji28][emoji28]