Mama wa kambo ni mama, nae ana watoto wake wanaomuita mama!!!!
Hiyo ipo kigeneral zaidi, kuwa na roho mbaya ni hulka tu ya mtu, pia ni kawaida mtoto akikemewa/akipigwa na mama ambae hajamzaa hawakosekani wa kusema "kwa kuwa sio mama ake"
Kulea mtoto wa mtu kazi sana aisee
Kulea mtoto wa mtu kazi sana aisee
Kwa yule ambae umewahi kulelewa na mama wa kambo je, ile dhana ya mama wa kambo si mama ni sahihi, je ni kweli kwamba mama wa kambo ni katili, nini hupelekea mama wa kambo kuwa wakatili kwa watoto wa sio wao kwa wewe uliyelelewa na mama wa kambo ulionaje malezi yake?