G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,516
- 40,048
Tony na Jessica walikuwa wakikimbizana hapa na pale kuizunguka sebule huku mahaba yakiwa yamewabana vilivyo..Jessica alikuwa akijificha hapa na pale nyuma ya sofa huku Tony akiendelea kumzungusha kwa kumkimbiza mithili ya jogoo huku bukta yake ya kulalia ikiwa imetunishwa vilivyo kuashiria ujumbe kutoka kwa zee lililokuwemo ndani.."Nataka" Zee liliendelea kutoa ujumbe kwa Tony kumuashiria kuwa alikuwa akichelewesha 'mambo' ili kukidhi haja ya muhitaji..Hatimaye Tony alifanikiwa kumnasa Jessica na kumlaza chali kwenye sofa hali iliyomfanya Jessica kuanza kulalama kimahaba "Ooooh Tony umenichosha" Alilalama Jessica huku macho yake yakiwa yamelegea vilivyo..."Oooh my love..pole sana" alitamka Tony huku akiwa kamvaa vilivyo jessica aliyekuwa amevaa 'ki-night dress' kilicholifanya umbo lake maridhawa kuonekana na kuvuta hisia za Tony vilivyo...."Halafu baby tunakuwa 'rough' sana, nina wasiwasi utanipa mimba"..Alilalama Jessica..."Usihofu baby wangu"..Alijibu Tony bila kushirikisha ubongo huku akiupapasa mwili wa Jessica hali iliyomfanya Jessica kusahau dhamira yake na kuishia kutoa miguno mikali ya kimahaba.
Tony ni kijana wa miaka kumi na tisa akiwa ni mtoto pekee wa mzee Mwenda ambaye mke wake alifariki miaka minne iliyopita na kumuacha Tony kuanza maisha mapya ya kulelewa na baba bila mama....Hali hiyo ilimfanya mzee Mwenda kushindwa maisha ya upweke miaka miwili tu baada ya kifo cha mke wake,ikizingatiwa kuwa mzee Mwenda alikuwa bado ana umri wa miaka hamsini na mbili tu. Hivyo alikata shauri kutafuta mwenza ambaye atamsaidia kuondoa upweke uliokuwa umemtawala.
Hatimaye mzee Mwenda alifanikiwa kumpata mwanamke mmoja aliyekuwa na umri wa miaka thelathini na sita aliyekuwa naye ana mtoto mmoja msichana ambaye alikuwa akiitwa Jessica.
Jessica alikuwa msichana wa umri wa miaka kumi na sita ambapo alihamia kwa akina mzee Mwenda yeye pamoja na mama yake miaka miwili iliyopita baada ya makubaliano ya ndoa kati ya mzee Mwenda na mama Jessica ama Irene kama alivyokuwa akiitwa..Familia hii iliishi maisha ya kifamilia muda mfupi tu! kwani baada ya miezi saba Jessica na Tony ambao; Tony alikuwa akisoma kidato cha nne sekondari ya Azania huku Jessica akiwa kidato cha tatu sekondari ya Jangwani walianza mahusiano ya kimapenzi.
Tony hatimaye alimaliza kidato cha sita sekondari ya Ilboru iliyopo mkoani Arusha huku Jessica akiwa anajiandaa kuingia kidato cha sita katika sekondari ya Ruvu iliyopo mkoani Pwani.Hivyo Jessica alikuwa likizo ya mwisho wa mwaka wa masomo huku Tony akisubiri taratibu za kuendelea na masomo ya juu.
"Oooh baby u gonna kill me....I love you oooh shiiit.." Jessica aliendelea kuguna kimahaba...." Ok my love am there for you...just enjoy baby.....oooooh you are very sweet my love..."Tony alimjibu Jessica huku akiendelea kufanya mambo yaliyomfanya Jessica azidi kuchanganyikiwa kimahaba..."Oooooh yeaah....Ooooh..." Huyo alikuwa Jessica ambaye aliashiria kukikaribia kilele cha raha ya mahaba aliyokuwa akipewa....
Je ni nini kitaendelea..? Usikose kuendelea na kisa hiki kilichotokea miezi michache iliyopita...
Tukutane kesho