Mama wa kambo kaniharibia kila kitu

Maskiniii Mungu azidi kukuongezea kila unapopungukiwa mkuu.unamoyo wa upendo mno👏👏🙌🙌

Kama kuna kitu sikipendi katika maisha,basi ni konakona aise uwiii...uongo uongo🙆‍♀️🙆‍♀️ Siwezi jmni ninakasirika mnoo.

Mleta mada analeta ukakasi kama ndizi mbichi kwenye mambo ya msingi.😏😏
 
Mkuu nimeona maswali yako yote na jibu ni kwamba tayari vilikua vimeandishwa chini ya mama wa kambo, kama mtu yuko willing kunisaidia nitamletea yote anayohitaji naku abide maelekezo yake
Kuna huyu Culture Me amesema atakulink na mtu akusaidie,umemtafuta?unataka msaada gani mkuu?acha hiyo habari mwamba.

Kama ungekuja kuomba msaada wa kusomeshwa huku ungeweka taarifa zako za binafsi,za chuo unachosoma na watu wangeridhishwa nazo ungepata msaada 💯 sasa umeingiza habari za mama wa kambo sijui makorokoro gani huko unashindwa kutetea uzi wako .uko JAMII FORUM mkuu sio feisibuku wala snap.
 
Nimemtafuta mkuu PM
 
Nimeku PM mkuu
 
We have the same case mkuu. Nimelelewa na mama mlezi since nafuliwa nguo mpaka leo hii nimekua mtu mzima najitegemea. Since Mzee alipovuta mpaka leo sijawahi kudai hata kijiko, although nimefaidika kwa mengi sana kutoka kwa mama ila laiti ningekuwa na pua ndefu kudai mirathi basi hapa nilipo leo ingekuwa ni ndoto kupafikia.
 

1.Alikua tayari kammilikisha mama wa kambo
2.Alijitahidi sana watoto wake kutupa Elimu bora na kipindi naanza chuo alikua tayari ashaanza sumbuliwa na Cancer
3.Ndio
4.Nilikua nikifatilia kujua kwa ukaribu mambo aliyoacha mzee nakujua mengi yalikua chini mama huyo tayari
5.Hapana mkuu sio kwamba sionyeshi ushirikiano, najaribu kujibu kila mtu ili alidhike na mkuu nilikua sijaona ujumbe wake mpaka nilivoona mara ya pili ndio nikamfuata PM
6.Ilo swali namimi mkuu linaniumiza
7.Alikua anadaiwa nakupelekea mali kua malipo ushahidi akiwa nao mama wa kambo
8.Hapana sio wote
9.Wapo ndugu ilifikia muda kila mmoja akawa yuko busy na yakwake nasiku zote uwezo unatofautiana
 
Lengo lako kuja hapa ni kutaka msaada wa aina gani hasa?

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Nimeku PM mkuu
Message yako nimeiona,
Lakini nasikitika kusema kua nimeshindwa kukusaidia, naandika hapa hadharani ili kila mmoja aone isije ikatokea siku za usoni ikaonekana otherwise (yalishatokea kwa baadhi ya watu)

Una attitude flani hivi ambayo kama ni kweli kuhusu mama wa kambo kukataa kukusomesha na blah blah zingine basi alikua ana haki lakini nikwambie tu BADILIKA,

Umeniuliza kama mimi ni Dada, Mama, Shangazi, Bibi lol, popote utakaponiweka nafit, ila miaka 30 bado sijafika.

Kila la kheir watakuja wengine kutoa msaada, usivunjike moyo.
 
Hapana mkuu kutokana na Majina muda mwingine nashindwa elewa ni jinsia gani ila kama ilo limekukwaza nisamehe
 
Huu uzi nikikomenti ukweli nina hakika nitaishia kutukanwa na kuonekana mwenye roho mbaya.
Ebu ngoja nikae tu kimya, ingawa nina hakika kuna watu wana shida kubwa hata zaidi ya hizi za mleta mada.
 
unapaswa kutafuta msaada wa Kisheria katika hilo. Kama Hujui pa Kuanzia Nenda Mahakamani Moja Kwa Moja na Utapata Msaada Bila shaka.
JIPE MOYO MKUU, USIKUBALI HUYO MWANAMKE AKUFANYE ANAVYOTAKA YEYE, nasema MWANAMKE kwa sababu laiti angelikua Mama kwako asingefanya Upumbavu anaofanya. Kwanza hapa nilipo Hasira Zishanipanda juu yake, Ningekua Sipo bize ingebidi nije Tuungane Ili Ashughuliwe vizuri.

Tafuta Msaada wa Kisheria, Ikibidi unaweza Ku'postpone chuo kwa sasa ili swala hili liishe Kikamilifu, UpateHaki yako na huyo Mwanamke apate anachostahili. USIWE MZEMBE, PAMBANA MPAKA MWISHO yaani Pambana hadi aelewe kwamba hii ni nchi huru na sio nchi ya watumwa.

if i were you, i'd show her..!
 
Kafungue kesi ya mirathi kila mtu atapata haki yake
 
😳😳😳😅😅😅😅alikuwa anataka kukudanga nini?🤣🤣🤣mbno kama kaulizs maswali mengi ya kipuuzi kama ni kweli kakuuliza hayo maswali jamani😅😅😅kha kijana huyo kijana anamambo aise
 
Hapana mkuu kutokana na Majina muda mwingine nashindwa elewa ni jinsia gani ila kama ilo limekukwaza nisamehe

Jinsia yake ingekusaidia nini katika swala la msaada wa miradhi.

Hata kama anajinsia zote kwa pamoja hupaswi kuuliza maswali ya kipuuzi namna hiyo.

Next time pangilia maneno ya kuongea na watu wazima👎👎👎👎
 
Kisheria wewe na yeye ndio wasimamizi wa mirathi, incase hakupata watoto na huyo mwanamke upo mkoa gani? nenda kwenye zile NGOs zinazotoa msaada wa kisheria.
 
Jinsia yake ingekusaidia nini katika swala la msaada wa miradhi.

Hata kama anajinsia zote kwa pamoja hupaswi kuuliza maswali ya kipuuzi namna hiyo.

Next time pangilia maneno ya kuongea na watu wazima
Hahaha my dear nimebaki mdomo wazi kama kaka yangu Ushimen,
Siku hizi jinsia ya mtu inatambuliwa kwa kuulizwa "sijui wewe ni Dada, Mama, Aunt au Bibi", lol

Huko juu alikujibu comment yangu hakuiona amesahau kua alinijibu yupo Dar,

Hapa anasema aliniita hivyo sababu hakujua jinsia yangu kulingana na jina, LMAO,

Ndio maana nikamtakia kheir apate wa kumsaidia lakini pia abadilishe attitude kama kweli ana shida hizo alizozisema.
 
😅😅😅 ungemwambia “mimi ni shemale”😅😅😅hana shida huyo wala hajitambui nini anataka.na kwanza alikuwa haishi na mama wa kambo vizuri ninahi.

Pole sana my dear..ila nime😅😅😅jamni.
 
Acha tucheke tu dear maana dunia ina mambo na vijambo,


Me sijamjibu meseji yake, nimemjibu huku ili kufupisha mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…