Mama wa kambo hawezi kuwa MAMA

Mama wa kambo hawezi kuwa MAMA

Ndugu zangu watanzania,

Mama ni mama lakini si mama wakambo mana mama wa kambo yupo kwa ajili ya maslahi ya wanawe na ndugu zake wakalibu lakini ni nadra mama wa kambo kujali watoto wa mumewe ikiwa mumewe hayupo hai

Nilijitahidi kumtetea mama wa kambo nyumbani na kuwa ambia ndugu zangu kuwa mama yetu ni mzuli na ni mpole na ana mapenzi na sisi ingali baba katuacha na kutangulia mbele za haki na kutuacha katika malezi ya mama na umiliki wa mama

Mama yetu kipenzi wa kambo alianza kuuza mashamba yetu tuliyo kuwa tukilima na baba pamoja na familia yetu kwa ujumla pia mashamba yetu Yale ndo yalikua tegemezi kwetu lakini mama yule wa kambo aliuzia watu wa kwao bila kujali sisi tutaishije

Licha ya kuuza mashamba yetu bado aliendelea kuuza viwanja vyetu vya urithi tuliolisishwa na baba kwa ndgu zake huku SI tukikosa mahali oakujenga na familia zetu

Licha ya haya yote mi niliendelea kuwa upande wake na kumtetea huku akiwa kaniahidi nami nitakuwa mnufaika wa Kodi za jengo letu pale sokoni nami nikiwa na furaha na kuwasaliti ndugu zangu wa damu kwa kumpenda mama wa kuja na kuwaacha ndugu zangu wakilia kwenye Lindi la umaskini huku mama wa kambo na nduguze wakiogelea minoti toka kwenye mauzo ya mashamba yetu, viwanja vyetu na Kodi ya jengo letu

Lakini Leo hii katika mgao wa watakao simamia pango la jengo letu na kula mema ya Kodi la pango mi simo mama wa kambo kaleta nduguze eti ndo waje watusimamie nami nimepigwa chini katika kusimamia Kodi ya pango letu na alikuwa ameniahidi kuwa nami nitakuwa mmoja wa wala mema wa Kodi

View attachment 3431378
Leo hii ndugu zangu NIMEBUBUJIKWA NA MACHOZI YA HUZUNI na kujutia usaliti kwa familia yangu na nawaomba msamaha ndugu zanguni wote nilio wakosea naombeni mnisamehe sana ndugu yenu ni NJAA tu ndo zilifanya niwasaliti
Kwenda huko
 
Nimeshalalamika sana na kulaani sana kitendo hiki kilichofanyika lakini nashangaa imekuwaje jukwaa hili wanashindwa kuona kuwa hiyo siyo sawa. Kwa hakika imenisikitisha sana na kulishangaa sana jukwaa hili. Sikuwahi kufikiria kama jukwaa hili na uongozi wake unaweza kuacha jambo kama hili kufanyika na kuendelea kuangalia tu kuendelea kutendeka.
Wewe ni mjinga wa kiwango cha juu sana. Kwa hiyo unataka kusema hapa duniani jina la Lucas ni la kwako tu, na Mwashambwa ni la baba yako tu! Achana na hii tabia yako ya kipuuzi. Unaonekana una udumavu mkubwa sana wa akili.

Halafu mbona mtoa mada anaitwa Lucas mwashamba? Ana uhusiano gani na wewe?
 
Mama wa kambo akiwa mke wa ndoa ni mama lakini akiwa hawala kisha kujiheuza mke ndipo penye tatizo kubwa
 
Malipo ni hapahapa duniani, big supporter wa wizi wa kura, utekaji, kesi fake na mauaji, tunamshukuru mama wa kambo 💯 ,ngoja tuongeze kuni tuu
 
Nimeshalalamika sana na kulaani sana kitendo hiki kilichofanyika lakini nashangaa imekuwaje jukwaa hili wanashindwa kuona kuwa hiyo siyo sawa. Kwa hakika imenisikitisha sana na kulishangaa sana jukwaa hili. Sikuwahi kufikiria kama jukwaa hili na uongozi wake unaweza kuacha jambo kama hili kufanyika na kuendelea kuangalia tu kuendelea kutendeka.
Wewe ni mpumbavu sana narudia kukumbusha tu kuwa kasome kanuni za JF kuhusu majina wewe huna haki miliki ya jina hilo.

Mbaya zaidi ni hayo majina ya kibantu herufi moja ikitokea imepishana basi ni watu tofauti sio tu kikabila hata maana

Mimi nilisoma na mtu anaitwa Mwashamba ni Mbondei wewe Mwashambwa ni Mnyiha sasa Tanga na Mbozi wapi na wapi?

Ndio maana uongozi umekupuuza maana umeleta claims zisizo na mantiki na ni uvivu wako wa kutosoma policy za forum.
 
Nimeshalalamika sana na kulaani sana kitendo hiki kilichofanyika lakini nashangaa imekuwaje jukwaa hili wanashindwa kuona kuwa hiyo siyo sawa. Kwa hakika imenisikitisha sana na kulishangaa sana jukwaa hili. Sikuwahi kufikiria kama jukwaa hili na uongozi wake unaweza kuacha jambo kama hili kufanyika na kuendelea kuangalia tu kuendelea kutendeka.
What if ni ID yako, machawa huwa ni wasaliti, kwani mamako SI ni mmoja aliyekuzaa, wengine wote ni mama fake?
 
Uongozi wa JF hii sio sawa, ni violation ya forum contributors Lucas Mwashambwa uwe unakubaliana nae au la. Vyovyote vile amejitengenezea brand na audience yake.

Kuacha watu watengeneze ID zinazofana na wachangiaji ambao wameshajijengea popularity for cheap shots, huku ni ku-entertain mambo ya kitoto to say the least.
Wanafanya hivyo kwa maslahi yao.
 
Nimeshalalamika sana na kulaani sana kitendo hiki kilichofanyika lakini nashangaa imekuwaje jukwaa hili wanashindwa kuona kuwa hiyo siyo sawa. Kwa hakika imenisikitisha sana na kulishangaa sana jukwaa hili. Sikuwahi kufikiria kama jukwaa hili na uongozi wake unaweza kuacha jambo kama hili kufanyika na kuendelea kuangalia tu kuendelea kutendeka.
Aisee, pole sana.
Kwakweli hawajakutendea haki
 
Ndugu zangu watanzania,

Mama ni mama lakini si mama wakambo mana mama wa kambo yupo kwa ajili ya maslahi ya wanawe na ndugu zake wakalibu lakini ni nadra mama wa kambo kujali watoto wa mumewe ikiwa mumewe hayupo hai

Nilijitahidi kumtetea mama wa kambo nyumbani na kuwa ambia ndugu zangu kuwa mama yetu ni mzuli na ni mpole na ana mapenzi na sisi ingali baba katuacha na kutangulia mbele za haki na kutuacha katika malezi ya mama na umiliki wa mama

Mama yetu kipenzi wa kambo alianza kuuza mashamba yetu tuliyo kuwa tukilima na baba pamoja na familia yetu kwa ujumla pia mashamba yetu Yale ndo yalikua tegemezi kwetu lakini mama yule wa kambo aliuzia watu wa kwao bila kujali sisi tutaishije

Licha ya kuuza mashamba yetu bado aliendelea kuuza viwanja vyetu vya urithi tuliolisishwa na baba kwa ndgu zake huku SI tukikosa mahali oakujenga na familia zetu

Licha ya haya yote mi niliendelea kuwa upande wake na kumtetea huku akiwa kaniahidi nami nitakuwa mnufaika wa Kodi za jengo letu pale sokoni nami nikiwa na furaha na kuwasaliti ndugu zangu wa damu kwa kumpenda mama wa kuja na kuwaacha ndugu zangu wakilia kwenye Lindi la umaskini huku mama wa kambo na nduguze wakiogelea minoti toka kwenye mauzo ya mashamba yetu, viwanja vyetu na Kodi ya jengo letu

Lakini Leo hii katika mgao wa watakao simamia pango la jengo letu na kula mema ya Kodi la pango mi simo mama wa kambo kaleta nduguze eti ndo waje watusimamie nami nimepigwa chini katika kusimamia Kodi ya pango letu na alikuwa ameniahidi kuwa nami nitakuwa mmoja wa wala mema wa Kodi

View attachment 3431378
Leo hii ndugu zangu NIMEBUBUJIKWA NA MACHOZI YA HUZUNI na kujutia usaliti kwa familia yangu na nawaomba msamaha ndugu zanguni wote nilio wakosea naombeni mnisamehe sana ndugu yenu ni NJAA tu ndo zilifanya niwasaliti
Lucas Mwashambwa unamuona pacha wako ?
 
Kiongozi ondoa hio DP ibaki kama zamani..
 
Back
Top Bottom