Mama wa .com

Eti Bi Mikopo kakopa tena trilioni ngapi huko? Nasikia mtoto wa kigogo mstaafu na yule wa nishati wanapigwa chini soon.
 
... hivi kwanini wanawake (baadhi) wanadhani maungo yao ya ndani ni kitu cha kuachwa kionekane ovyo ovyo? Kuna nini kipya humo ambacho hakijulikani au cha tofauti? Rubbish!
 
Anafanana na B Sandra full copy.lakini kwenye sura tu sio kwengine.
Bi Sandra ndo nani? Isije ikawa unamaanisha yule Chief wa usukumani.... subiri kesi ya mwenyekiti iishe hatutaki kesi mbili kwa mpigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…