Mama Vs. Me...

Mama Vs. Me...

Jagood

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2016
Posts
2,144
Reaction score
2,397
33707312_1369238419886850_5656949503425511424_n(1).jpg
 
Hii mitoto ambayo haifundishwi utaratibu ndio inakuja kuwa mitu ya hovyo kwenye jamii.
Mtoto usimnyime kiboko, huyo mtoto atamsumbua sana mama yake maana naona mama anafanya akitakacho mtoto Na sio mtoto anafanya akitakacho mama.
Halafu bàadae unaanza kulalamika eti mtoto kanishinda, kumbe kuanzia mwanzo ni wewe uliyejenga misingi mibovu ya mwanao kuharibika.
MBITIYAZA Na Sky Eclat Na nyie watoto wenu mnawalea hivi?
 
Naanza kukuadabisha kabla haujashuka..sipendagi ujinga..mtoto Ukimchekea sana hashindwi kukutusi mbele ya kadamnasi
 
Hapa kuna mambo mawili , moja , michezo ya watoto inapokaribia kua hatari.

Mbili, Mama najukumu lakumlisha chakula mwanawe...

Mimi nitagusa lapili..... Nikwasababu yakutokujua malezi ya watoto basi hapo mnaweza hisi huyo mama kakosea.

Chakula ili kifanye kazi vizur, nishariti anayekila awe ktk hali ya furaha, aman na akili imechangamka.

Huenda huyo mama, anajua mwanawe akiwa katulia nimvivu wakula, ivo njia sahihi ni kumbananisha akiwa anacheza nawenzake....nini faida yake????.

Kwanza kwa kula chakula katikat ya mchezo na watoto wenzake, kunamfanya ajiamin zaidi napia anakila kwa furaha.

Pili, mtoto atalazimika ale chakula chap chap akimalize fasta ili aendelee kucheza nawenzake.

Tatu, kula chakula kutaendelea kuwakip wenzake hapohapo, ili akimaliza waendelee kucheza ...Ukumbuke akimuweka mahali, mtoto atakua anawaza kucheza nasio kula.

Kutoka kwangu, hofu nipale atakaponogewa na chakula najujisahau yupo juu ,, napia wazazi wawe wanahakikisha wanao wamekula ndio wawaruhusu wakacheze.
 
Back
Top Bottom