Mama Tibaijuka hebu kuwa serious! Mbona unatufanya wote wajinga?

Pesa ya Escrow imekomboa nyumba ya Mama Tibaijuka iliyokua dhamana bank!kwa tafairi hiyo tuu ni kuwa fedha imemfaidisha mama Tibaijuka nyumba yake isiuzwe
 
mwaka 2009 ada ya form one katika hii shule ilikuwa 3,050,000 kwa mwaka sijui siku hizi imefika shilingi ngapi!!! Watoto wa mazingira magumu hayo ni wapi wenye uwezo huo?
 
SHULEyake sio ya watoto masikini ada ni sh 4000000 acha kudanganya watu

Hawa ndio Manyang'au ambao kila siku Shule za Serikali zikifanya vibaya au kuwa katika hali mbaya hufurahia na kufanya sherehe, kwani kuporomoka kwa elimu kwa shule za serikali ni opportunity kwao.

Hivi inaingia akilini mtu kama huyu kuwepo kwenye Cabinet atoe ushauri wa kuwezesha shule za Serikali kuweza kufanya vizuri?au kutakuwa na Hujuma tu? kama bei ya elimu bora kwake ni milioni 4 unategemea nini kitokee kwa shule zetu za ada isiyozidi laki moja?

Mchonga aliyasema haya, IKULU sio pango la walanguzi, sasa cabinet haina tofauti na kikao cha walanguzi, maana kil amtu anaingia pale na ajenda yake binafsi, Maendeleo yatatoka wapi?
 
Ameamua kwenda kuiangukia shule yake ili imtetee ili asinyang'anywe uwaziri wake! Kwa kweli ukisoma vizuri tamko la shule ile ni dhahiri limepikwa!

Huyu mama ni mjinga kweli kweli kwa sababu zifuatazo

Kwanza
anajua kuwa kampuni ya IPTL ilikuwa na utata tangia inaaza mtu makini hawezi kupata pesa kutoka kwa kampuni yenye utata akabaki salama. Kamuulize Rutabanzibwa alikataa hizo pesa mara ngapi

Pili
. Huwezi kupokea pesa kiasi hicho kutoka kwa mtu anaitwa Rugemalira anayejulikana kama mzee wa mjini mwenye kusuka dili za nguvu na za kimafia ukabaki salama Huyu baba alijua anachokifanya, alisambaza hizi hela kuwapaka vigogo hawa hili siku dili likibumburuka litabana wengi

Tatu
. shule anayosema ameiombea pesa kusaidia watoto , ukweli ni kwamba ni shule yenye kutoza ada kubwa sana .ukweli ni kwamba ada ya shule yake ni milion 5 wanaosoma pale hakuna mtoto wa maskini.angekuwa mama huyu ni mkweli hii shule sio ya kuombea msaada. angepeleka hizo pesa kisarawe kwa shule za kata tungemuelewa

Nne huyu mama ni kiongozi mkubwa serikalini angepashwa kuwa mwangalifu sana , hivi baada ya kupata mgaoo huu wa nguvu , bwana Ruge angetaka kupatiwa ardhi hata Ikulu si angepewa ?

tusidanganyane Profesa kimenuka tayari hata ukusamehewa, sisi wapiga kura wako hatuna imani nawe tena
 
Nimesoma press release ya shule unayodaiwa uliiombea feza! Naomba ujibu maswali yangu haya:
1. Hivi ulipoahidiwa kupewa fedha kwanini ulifungua akaunti wewe binafsi badala ya bodi - mkiti, katibu etc? Yasemekana akaunti ilikuwa na jina lako binafsi? Na km shule ilikuwa na akaunti nyingine hapo mkombozi bank ya ada, kwanini hamkuitumia akaunti hiyo?

wewe ndo uwe serious, prof. anna tibaijuka kaeleweka sana na sisi sote watanzania tumemuelewa sana. hana hatia issue ya escrow ila wasaka tonge wanatafuta mtu wa kumtoa kafara. na prof. tibaijuka sio mbuzi ni msomi wa kimataifa. viva prof. viva
2. Hivi km lengo la shule ni kusaidia watoto wa kike wanaotoka familia duni? Hivi kweli kwa usomi wako unaozingatia maamuzi yatokanayo na tafiti, kweli mabinti toka familia duni wako jijini Dar na Bukoba mjini?

Kama shule ada ni milioni 5 kwa mwaka na inashindwa kujiendesha, something is missing...,waungwana watusaidie ku-connect dots. Hapa kutakuwa na usafishaji pesa unaendelea.

wewe ndo uwe serious, prof. anna tibaijuka kaeleweka sana na sisi sote watanzania tumemuelewa sana. hana hatia issue ya escrow ila wasaka tonge wanatafuta mtu wa kumtoa kafara. na prof. tibaijuka sio mbuzi ni msomi wa kimataifa. viva prof. viva
 
huyu mama jinsi anavyowadhulumu watu wa kigamboni na cha simba tegeta sina hamu naye

mama huyu hana njaa ya kudhulumu watu ng"oooooooooooooooooo, shame on u. huna haya ww. badala ya kumsifu prof. unakalia majungu tu ,kisa ulibomolewa nyumba baada ya kujenga kwenye open space
 
mwaka 2009 ada ya form one katika hii shule ilikuwa 3,050,000 kwa mwaka sijui siku hizi imefika shilingi ngapi!!! Watoto wa mazingira magumu hayo ni wapi wenye uwezo huo?

wewe ni mjinga tena punguwani. prof. amechukua wanafunzi wengine kutoka mikoa duni tanzania kama lindi na anawasomesha bureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Nimesoma press release ya shule unayodaiwa uliiombea feza! Naomba ujibu maswali yangu haya:
1. Hivi ulipoahidiwa kupewa fedha kwanini ulifungua akaunti wewe binafsi badala ya bodi - mkiti, katibu etc? Yasemekana akaunti ilikuwa na jina lako binafsi? Na km shule ilikuwa na akaunti nyingine hapo mkombozi bank ya ada, kwanini hamkuitumia akaunti hiyo?

2. Hivi km lengo la shule ni kusaidia watoto wa kike wanaotoka familia duni? Hivi kweli kwa usomi wako unaozingatia maamuzi yatokanayo na tafiti, kweli mabinti toka familia duni wako jijini Dar na Bukoba mjini?

wewe ndo uwe serious, prof. anna tibaijuka kaeleweka sana na sisi sote watanzania tumemuelewa sana. hana hatia issue ya escrow ila wasaka tonge wanatafuta mtu wa kumtoa kafara. na prof. tibaijuka sio mbuzi ni msomi wa kimataifa. viva prof. viva
 
wewe ndo uwe serious, prof. anna tibaijuka kaeleweka sana na sisi sote watanzania tumemuelewa sana. hana hatia issue ya escrow ila wasaka tonge wanatafuta mtu wa kumtoa kafara. na prof. tibaijuka sio mbuzi ni msomi wa kimataifa. viva prof. viva

Mwizi tu huyo hata umsifie vipi, Kama kweli ana nia ya kusaidia wanafunzi na kwa vile yeye ni kiongozi wa serikali pesa ingekwenda kwanza kwenye shule za kata.
 
wewe ni mjinga tena punguwani. prof. amechukua wanafunzi wengine kutoka mikoa duni tanzania kama lindi na anawasomesha bureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Fisadi tu huyo hakuna lolote, kama na wewe hizo pesa zimekupitia na wewe ni fisadi tu, na wiki ijayo hatachomoka kwa nguvu ya wananchi.
 
Hebu muonee huruma mama yangu na mbunge wangu jamani, yeye ndiye wa kwanza kujitetea lakini killa utetezi anaoleta unakuwa ni bora ya uliotangulia! Sasa nawe ukimuongezea haya si ataenda kulazwa kwa bp.
Ufisadi ni fani na ndio maana wazoefu haoni hata wakiangaika sasa yeye anadhani pesa hizo ni sawa na cheque za UN!
 
Back
Top Bottom