Kwa jinsi suala lenyewe linavyoshupaliwa bila hata sababu zenye mashiko ni lazima mada kama hizi ziume watu mioyo kama kweli mtu hauna husda, roho mbaya na visasi.touching somehow
Naona tunaanza kupotosha mada hii, kwa ujumla hakuna sababu zote za msingi zinazotolewa za kuwang'oa mawaziri hawa.WENGINE wakishambuliwa husema wanashambuliwa kwa sababu ya dini zao.
kabila zao-OLE NAIKO
Mikoa yao-Mwepesi si KABWE
NALAANI KUSHAMBULIWA KWA TIBAIJUKA si kwa kuwa ni mwanamke bali ni kwa kosa gani hasa alilolitenda
kama kupiga dili nani ccm hapigi dili?
kama kiburi na lugha ya dharau kwa umma nani serikalini asiye na hicho kiburi???
KATIBU MKUU KINANA anatuhuma ya ujangili na meli kubeba meno ya tembo mbona hasemwi??
TUNAMSHAMBULIA TIBAIJUKA KWA KUWA TULIDHANIA KUKAA UMOJA WA MATAIFA amestaarabika kumbe mwizi haachi asili yake
Kama kweli wewe siyo mnafiki, tupe kauli ya MUHONGO ya kutaka kujitetea zaidi ya ile ya BUNGENI ambayo kanuni zilikuwa zinamtaka kufanya hivyo.Tibaijuka hajashambuliwa ila anajishambulia mwenyewe kati ya hao uliowataja yupo yeyote aliyewahi kuita press na kuongelea suala hilo au kutumia mitandao kutaka kujisafisha? Tibaijuka na Prof Muongo ndio wanaoshambuliwa na ni kwa kuwa tu kila siku habari za wao kutaka kujisafisha ndio zinajaa kwenye media mbalimbali
Joyce kiria ni Mwanaharakati siyo mtetezi wa wanawake asingeweza kumtetea TIBAIJUKA wa CCM hata kama anaonewa.ulieandika hii thread lazima utakua ni joyce kiria. kila ishu we huwa unaingiza mambo ya gender balance. hata sehemu ambazo hazistaili hata kwa macho ya kawaida
Hiyo sheria ya cash ni kwa mtu binafsi, pesa ya mama alipewa kwa ajili ya shule.Under secretary General wa UN hajui miiko ya uongozi? kwa sheria ya US, zawasi ya cash zaidi ya $ 100 kwa government employee inatiliwa shaka kama rushwa. sasa hiki kibibi kinapokea $1m kutoka kwa mfanyabiashara dubious kama Lugemarila kinasema zawadi? huyu bibi ana hurka ya wizi na ndiyo maana Mdee aliimmudu sawa sawa kwenye ardhi. Halafu proffessor mzima na bibi mzeee anakuwa mwaizi wa mali za wajukuu wake, wakati amesomeshwa bure na nchi hii aje asaidie jamii yake, ndo kwanza anakuwa mwizi na mlafi kama kina Sofia Simba wasiojielew hataa! wanawake tz wametuangusha sana. labda tusubiri wa upinzani lakini hawa kina Mongela no, no! na kama huamini Tibaijuka pesa hizo atazila akiwa na kesi na ataishi m aisha ya kudharauliwa mno licha ya kubahatika kuwa Boss wa Un
Mama prof, mh,tulia sindano ikuingie vizuri, acha kujihami Sana!Longolongo nyingi mno, by the way umeshazilipia kodi?Pamoja na ukweli kwamba wanaotajwa kuhusika na haya mambo ya Escrow ni wengi ktk Serikali ya raisi Kikwete, lkn ni mmoja tu ndio amekuwa akishambuliwa kila siku kwa kejeli na saa saa nyingine mpaka matusi naye ni Mama Tibaijuka, na ukiangalia sana utaona ya kwamba hakuna sababu nyingine yoyote ya maana zaidi ya ubaguzi dhidi ya Wanawake - Mfumo Dume!
Kama ilivyokuwa kwa Mwanamuziki Flora Mbasha ambapo watu walimshambulia bila hata kujua ukweli, Jamii nzima ikageuka kuwa hakimu na kumhukumu mama Mbasha na kumkingia kifua Mumewe, walimlaumu mama Mbasha kwa kila baya lililoikumba ndoa yao!
Sijasikia Jaji Werema, Chenge,waziri Muhongo au hata Raisi Kikwete mwenyewe wakishambuliwa kwa kiasi ambacho mama Tibaijuka amekuwa akishambuliwa! Hii ndiyo sababu inayonifanya niamini anashambuliwa kwa kuwa ni Mwanamke!
Hakuna jamii Dunia Hii inayodharau Mwanamke kama hii yetu, na iko kila mahali nchini mwetu!
Najua Mama Tibaijuka analijua hili na ametoka mbali, amepitia na kuyashinda mengi hata hili nalo pia atalishinda!
Kinachomponza huyo mama Tibaijuka ni kidomodomo chake na kimbelembele.Pamoja na ukweli kwamba wanaotajwa kuhusika na haya mambo ya Escrow ni wengi ktk Serikali ya raisi Kikwete, lkn ni mmoja tu ndio amekuwa akishambuliwa kila siku kwa kejeli na saa saa nyingine mpaka matusi naye ni Mama Tibaijuka, na ukiangalia sana utaona ya kwamba hakuna sababu nyingine yoyote ya maana zaidi ya ubaguzi dhidi ya Wanawake - Mfumo Dume!
Kama ilivyokuwa kwa Mwanamuziki Flora Mbasha ambapo watu walimshambulia bila hata kujua ukweli, Jamii nzima ikageuka kuwa hakimu na kumhukumu mama Mbasha na kumkingia kifua Mumewe, walimlaumu mama Mbasha kwa kila baya lililoikumba ndoa yao!
Sijasikia Jaji Werema, Chenge,waziri Muhongo au hata Raisi Kikwete mwenyewe wakishambuliwa kwa kiasi ambacho mama Tibaijuka amekuwa akishambuliwa! Hii ndiyo sababu inayonifanya niamini anashambuliwa kwa kuwa ni Mwanamke!
Hakuna jamii Dunia Hii inayodharau Mwanamke kama hii yetu, na iko kila mahali nchini mwetu!
Najua Mama Tibaijuka analijua hili na ametoka mbali, amepitia na kuyashinda mengi hata hili nalo pia atalishinda!
Under secretary General wa UN hajui miiko ya uongozi? kwa sheria ya US, zawasi ya cash zaidi ya $ 100 kwa government employee inatiliwa shaka kama rushwa. sasa hiki kibibi kinapokea $1m kutoka kwa mfanyabiashara dubious kama Lugemarila kinasema zawadi? huyu bibi ana hurka ya wizi na ndiyo maana Mdee aliimmudu sawa sawa kwenye ardhi. Halafu proffessor mzima na bibi mzeee anakuwa mwaizi wa mali za wajukuu wake, wakati amesomeshwa bure na nchi hii aje asaidie jamii yake, ndo kwanza anakuwa mwizi na mlafi kama kina Sofia Simba wasiojielew hataa! wanawake tz wametuangusha sana. labda tusubiri wa upinzani lakini hawa kina Mongela no, no! na kama huamini Tibaijuka pesa hizo atazila akiwa na kesi na ataishi m aisha ya kudharauliwa mno licha ya kubahatika kuwa Boss wa Un
Pamoja na ukweli kwamba wanaotajwa kuhusika na haya mambo ya Escrow ni wengi ktk Serikali ya raisi Kikwete, lkn ni mmoja tu ndio amekuwa akishambuliwa kila siku kwa kejeli na saa saa nyingine mpaka matusi naye ni Mama Tibaijuka, na ukiangalia sana utaona ya kwamba hakuna sababu nyingine yoyote ya maana zaidi ya ubaguzi dhidi ya Wanawake - Mfumo Dume!