Entareyehirungu
JF-Expert Member
- Oct 27, 2006
- 488
- 471
Kwangu hii ni fursa ngoja nijipange kulichukua jimbo 2015.
Kila anayeishi na ana akili anatamani mabadiliko yatakayoleta maendeleo na unafuu katika maisha. Lakini tatizo letu tulio wengi tunaweka matumaini makubwa kwenye msingi usiokuwepo. Na hilo ndilo tatizo kubwa sana la propaganda zisizo za kisayansi. Makosa mengine ni kwamba tunawahamasisha wasio na ushawishi katika lengo la dhamira yetu. Tukiendelea kwa mtindo huu wa matumaini ya kwenye vyombo vya habari, tukasahau kuwa ukweli uko mtaani na hakimu wa mwisho ni mwananchi wa eneo husika, basi ninaweza kukuhakikishia kuwa mabadiliko yatakayoshuhudiwa baada ya uchaguzi 2015 ni kupungua kwa wabunge wa upinzani bungeni. Na hivyo kama mwenzangu Sunshow unadunduliza kuwekeza kwenye hizo nafasi fikiria si mara mbili bali zaidi kabla hujapoteza pesa, mali na kujiletea msongo wa mawazo.Mwaka huuu ccm watasema yote mabaya walio tufanyia watanzania ili ikifika 2014&2015 ni kukabidhi nchi kwa makamanda.
Mama Tibaijuka anatafutwa na wapiga kura wake wa Jimbo la Muleba,leo asbui kwenye kipindi cha Super Mix baadhi ya wapiga kura wake ambao walikua wakihojiwa na Kituo cha redio cha East Africa walisema kuwa tangu wamchague mbunge wao kuna maeneo hajapita kabisa,hasa maeneo ya vijijini,wanadai amewasahau na amehamia Dar es Salaam huku akionesha hana mpango nao.
Wapiga kura wa Mama Tibaijuka wakaenda mbali zaid na kusema,huduma muhim kama vile dawa kwenye zahanat wanakosa,ingawa wanaona magar yanashusha dawa lakin waendapo hospitalini au kwenye vituo vya afya husishia kuambiwa wakanunue kwani dawa hakuna.
Kuna mpiga kura wake mmoja alisema kuwa wakunga wanapata tabu sana kuwazalisha wake zao maana hata gloves hakuna,wao wanasema wanamhitaj mama Tibaijuka aende akawatembelee hasa huko vijijin ili wamueleze kero zao na azifanyie kazi,pia walilalamika kuwa hawashirikishwi kwenye kubuni miradi....
Hata hivyo mtangazaji alisema alipompigia sim mama Tibaijuka,simu haikupokelewa,sasa mimi kwakua niliisikia hii via redio nimeona bora niilete hapa,maana najua mama Tibaijuka ni memba wa JF kwa siku za karibuni.
Kwa sababu nilimskia Mtangazaji Zembwela akisema 'MAMA TIBAIJUKA POPOTE ULIPO KAMA UNATUSIKIA TUNAOMBA UJIBU HOJA ZA WAPIGA KURA WAKO.'
NAWASILISHA
EID NJEMA WADAU
mkuu hata ya mkoa ni kituko tena ya muleba nadhani ina unafuu ukilinganisha na ya bk mjini, btw nasikia kuwa anaanzisha mfumo wa stakabadhi ghalani kwenye kahawa kama njia ya kuzuia magendo ya kahawa kuuzwa uganda, wakati mfumo huo umefeli vibaya mno kule kwenye korosho hadi wakulima wanamwagia u.p.u.p.u viongozi wa vyama vya msingi.Kwanza MULEBA ata bus stand tu HAKUNA yani nia AIBU kwa mji ule kua na mbunge mtaalamu wa mipango miji lakini ata bus stand tu ya kisasa hakuna....Ata juzi TIBAIJUKA umeshindwa kumlilia mzee wa Ahadi JK na Magufuri wakujengee Bus Stand km za Mwanza? nadhani movement for change kamata mwenge na mkawashe uko ambako Tibaijuka hajawahi fika! Ata Bus stand hakuna!
Bus stand hakuna!
Bus stand hakuna!
Bus stand hakuna Muleba!
Bus stand hakuna Muleba!
Tibaijuka km jina lako lilivo huoni AIBU loh Stand
Kwanza MULEBA ata bus stand tu HAKUNA yani nia AIBU kwa mji ule kua na mbunge mtaalamu wa mipango miji lakini ata bus stand tu ya kisasa hakuna....Ata juzi TIBAIJUKA umeshindwa kumlilia mzee wa Ahadi JK na Magufuri wakujengee Bus Stand km za Mwanza? nadhani movement for change kamata mwenge na mkawashe uko ambako Tibaijuka hajawahi fika! Ata Bus stand hakuna!
Bus stand hakuna!
Bus stand hakuna!
Bus stand hakuna Muleba!
Bus stand hakuna Muleba!
Tibaijuka km jina lako lilivo huoni AIBU loh Stand
Hatuwezi kukulaumu kwa kile ulichokiandika, inaonesha akili yako imeishia hapo. bado hujatambua umuhimu wa statics katika post??? na bado hujajua kuwa hutakiwi kabisa kuwa na haraka kw akupost habari ambayo ulitakiwa kwenda EARadio kutafuta kupata list kamil ya vijiji vinavyolalamika then ungekuja hapa mbele ya Dunia na kutweleza kuwa ni vijiji vingap kati ya vingap mama Tibaijuka hajafika.
Otherwise umejifunza, so usiharibu tena text time
Kwakupita tuu niwambie uyudenisi anajiabu kwa kumpa sifa mamatibajuka napenda kumuuliza.buligi,kayonza,lwiala, ichwandimi,rwazi,kasenyi,bumbile, kyota,kyamukwikwi,mjunwa ,ilemela,kabaguna,na katungulu,uko anapajua namatatizo walionayo anayajua? Wao wanajua jina tibajuka nazile picha alizogawa kwenyekipindi cha kampaini. Kuusu hosptal nenda kaigala dawa akuna na kuusu ziala ya rais wananchi ua awapewi nafasi yakuuliza maswali wao wanachokifanya ni kuandaa watu watakao uliza maswali walio ambiwa ndo maana uyu denisi k/b anajivunia kua mbona raisi alivo kuwepo awaja muuliza madai ayo acha unafiki wakishabiki wasiasa sema ukweli.
Sunshow, Janeth Augustine, na denis charles mnakuwa hamko sahihi mkitoa majibu au kuchangia taarifa ya Mkoroshokigoli kwa kudhani kuwa ni mtu mbaya au mpinzani wenu. Saikolojia ya kawaida ya mtiririko wa taarifa na majibu yake inaonyesha kabisa kwamba yeye hana maslahi yoyote na Muleba au Ubunge wa Muleba zaidi ya kufikisha kile alichosikia Redioni. Kwa hiyo kilichotakiwa kufanywa ni kumuelewesha hali halisi tena kwa takwimu na hata picha (Kuona ni kuamini) badala ya kumshambulia.
Unapokuwa PS au PR wa taasisi au mtu binafsi ni vema kupata A, B, C za Reputation Management. Hasa katika zama hizi za mitandao, Online Reputation Management skills ni kitu adhimu. Unaweza kudhani kwa kumshambulia mleta taarifa kwamba ndiyo unaeleweka au unamlinda muhanga (mtu au taasisi) lakini kumbe ukweli ni kinyume chake.
Mkuu mi nilihoji hilo swali nikaambulia BanNyumbani kwa Anna pamekuwa ikulu ndogo tena?!
wala simlaumu.huyu mama wabunge karibia wote wanaishi na kupiga dili dar,hata mbunge wangu wenje ndiko anakoishi.
saa nyingine tuache ushabiki jama
hawa watu nilowaskia jana on east afrika redio wao ni wale wanaoish vijijin,ina maana mama huishi mjini,na wanasema tangu wamchague HAJAWATEMBELEA TENA WALITAJA NA MAJINA YAO,
Ndug yangu MkoroshoKigoli,
Hivi wewe ulisoma chuo gan? yaani kumskia mtu akiongea kupitia redio ndo unajua kuwa yuko kijiji?? je kama kaletwa mjini??
Kila anayeishi na ana akili anatamani mabadiliko yatakayoleta maendeleo na unafuu katika maisha. Lakini tatizo letu tulio wengi tunaweka matumaini makubwa kwenye msingi usiokuwepo. Na hilo ndilo tatizo kubwa sana la propaganda zisizo za kisayansi. Makosa mengine ni kwamba tunawahamasisha wasio na ushawishi katika lengo la dhamira yetu. Tukiendelea kwa mtindo huu wa matumaini ya kwenye vyombo vya habari, tukasahau kuwa ukweli uko mtaani na hakimu wa mwisho ni mwananchi wa eneo husika, basi ninaweza kukuhakikishia kuwa mabadiliko yatakayoshuhudiwa baada ya uchaguzi 2015 ni kupungua kwa wabunge wa upinzani bungeni. Na hivyo kama mwenzangu Sunshow unadunduliza kuwekeza kwenye hizo nafasi fikiria si mara mbili bali zaidi kabla hujapoteza pesa, mali na kujiletea msongo wa mawazo.
Sunshow, Janeth Augustine, na denis charles mnakuwa hamko sahihi mkitoa majibu au kuchangia taarifa ya Mkoroshokigoli kwa kudhani kuwa ni mtu mbaya au mpinzani wenu. Saikolojia ya kawaida ya mtiririko wa taarifa na majibu yake inaonyesha kabisa kwamba yeye hana maslahi yoyote na Muleba au Ubunge wa Muleba zaidi ya kufikisha kile alichosikia Redioni. Kwa hiyo kilichotakiwa kufanywa ni kumuelewesha hali halisi tena kwa takwimu na hata picha (Kuona ni kuamini) badala ya kumshambulia.
Unapokuwa PS au PR wa taasisi au mtu binafsi ni vema kupata A, B, C za Reputation Management. Hasa katika zama hizi za mitandao, Online Reputation Management skills ni kitu adhimu. Unaweza kudhani kwa kumshambulia mleta taarifa kwamba ndiyo unaeleweka au unamlinda muhanga (mtu au taasisi) lakini kumbe ukweli ni kinyume chake.
Baada ya ya kusoma maelezo ya Mama Anna Tibaijuka kwenye uzi huu Siku Nilipotua kwa ndege Bukoba nikiwa peke yangu! nimegundua uzalendo unaanzia mbali. Na majungu ni kichocheo kikubwa katika kuchelewesha maendeleo kwenye jamii husika. Kuna haja ya kujihoji; tunafaidika nini kuwabomoa watu kwa upambe wetu? DJ Baraka ebu tujaribu kubadilika, tutafute na mazuri ya watu wetu, mkoa wetu na tuyatangaze. Kwa tabia hii ungekuwa unaishi katavi kwa Mzee Pinda ungeandika au kusingizia mabaya mangapi?
KAJUGUJUGU,
….. nakumbuka siku za nyuma kuingilia malalamiko ya mtu mmoja kutumia jina la Bukoba Wadau humu jamvini, kuanzisha mada za ugomvi wa Mayor na Mbunge huku akilalia upande mmoja. Ilibainika mtumiaji wa jina hapa JF hakuwa na uhusiano wala ridhaa ya MC Baraka-mmiliki na mwendeshaji wa BUKOBAWADAU. Ujio wa DJ Baraka katika uanzishaji wa mada zenye mlengo sawa na alizokuwa akianzisha Bukoba Wadau wa JF kipindi kile, unatia mashaka!. Si mchezo mzuri kwa sababu unachonganisha watu ndani ya Jamii. Na unaharibu sura ya chombo cha habari na kukifanya kionekane kinaendeshwa na watu wenye upendeleo.
Nitafurahi kama huyu DJ Baraka atajitokeza na kuweka bayana kutohusika kwake wala kutokuwa na mahsiano na Bukoba Wadau Blog.
Sijawahesabu nyie kama wapinga hoja. Nimependekea mvae uhusika wa watetezi wa mtuhumiwa bila kumchukulia mleta taarifa kama mpinzani. Na nimeshauri juu ya njia sahihi ya kuidhohofisha hoja iliyomo katika taarifa yake. Katika maelezo yangu, nimemchukulia Mkoroshokigoli kama tarishi wa taarifa na si mleta hoja.Kuunganisha wapinga hoja kwamba hawamsaidii mtu ambaye anashambuliwa, in my opinion, haiwezi kuwa njia sahihi ya Online Reputation Management.
Wadau nimepokea taarifa za kifo za mwenyekiti wa halmashauri ya WILAYA ya KILOMBERO bwana RAMADHAN KIOMBILE ambaye alikua anaumwa kwa muda mrefu sana amefariki leo,huyu jamaa alichaguliwa kuwa diwani na baadae madiwan walimchagua kuwa mwenyekiti wa halmashauri.
Kwa mara ya mwisho mwezi wa 10 nilikua kilombero(ifakara)niliambiwa kuwa amelazwa muhimbili.
Taarifa hizi nimepewa na mdau wake ambaye anaishi ifakara
Wadau,
Kwenye taarifa ya habari ya saa 4 niliskia wakitangaza kuwa huko tarafa ya MIKUMI wilaya ya kilosa mkoani Morogoro kuna hospitali ambayo wagonjwa wa kiume na wa kike wanalala wodi moja. Kadhia hii imesababishwa na uhaba wa wodi hospitalini hapo,jina la hospitali sikulishika kwakweli. wagonjwa hao wanadai kuwa hupata shida sana wanapotaka kubadilisha nguo
Chanzo: Redio One
Nimelipata jina la hiyo hospitali,inaitwa hospitali ya Mtakatifu KIZITO AU st Kizito HOSPITAL. Pia kuna mdau amenitonya kuwa Hospitali kuu ya wilaya ya KILOSA inakabiliwa na upungufu wa chakula na hivyo wagonjwa wanakosa chakula