Mama Tiba bwana !

Mama Tiba bwana !

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,120
1421235988854.jpg
 
Aah mama tiba usitufanyie hivyo, subiri huu upepo upite kwanza!
 
Uwaziri ulikuwa unamzuia kuwatumikia wananchi wake Kinana style.

Wabunge wasiwe Mawaziri
 
Mkuu FaizaFox
yaani huyu mama Tiba anaelekea kubaya jamani sasa hizi kampeni au ndio kapata muda wa kua karibu na wananchi?
Kama anafanya hivi kua ni sehemu ya siasa basi anahitaji msaada wa mwana psychology mapema sana
 
ana techniq za kitambo sana[/QUOTE

Sasa hapo anawadanganya kuwa wasingeniondoa uwaziri mwaka kesho mgehamia Kigamboni kwenye nyumba ya ghorofa!! Bojo hiyo ndio imetoka na bado kufukuzwa kwenye cc ya magamba!!
 
Kweli 2015 imefika, ukweli nilijua kufanyakazi UNO ni sawa na kuongeza elimu ya juu. Na bado kidogo nitaamini kuna baadhi ya magenge ukiambatana nayo ni sawa na kushusha elimu uliyonayo. Na hii huonekana kwenye matendo japo kinadharia mhusika anaweza kujiona yupo sawa.
 
Back
Top Bottom