Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,144
- 7,936
Amesema jana clouds ..amesema ukiwa na shida yoyot ile kariakoo mtafte ...nikajua huyu Mafia wa dili zote tata..ila mbona mropokaji? Ndo maana basi ccm walimshona!pole zake...ila nimempenda hakati tamaa hata kidogo
Huyo Mama Sinyali anayetrend ni mama mwenye hela za zake japo zimepungua kidogo. Ni rafiki mkubwa wa Davis Mosha pamoja na mtoto wa Rais Mstaafu awamu ya nne.
Narudia tena huyo mama ni alikuwa na hela sasa hivi zimeshuka kidogo halafu ni mafia, mtoto wa mjini hasa, siwezi kuandika mengi ila Sinyali ni Sinyali kweli hana shida ndogo ndogo.
Siju majumba, magari ya kifahari, huyo kushika milion 300, sijui millioni 600 kwake kawaida tu mbona, nyie endeleni kumwona meme ni li boss hilo jitu.
Kuna kipindi alitukana CCM wadau niishie hapa...akajifanya hawajui, walimshona vizuri akapendeza😄😄😄hana hamu na siasa hadi leo.
Siwezi kuweka full nondo hapa kwa sababu ya heshima ya Sinyali, pia boss wangu Davis Mosha nawakubali.
Sinyali tajiri born town watu wanamuona meme sasa hivi, wangemjua vizuri wangesema hadi wanaume kawapita roho ya ujasiri.
Sinyali we boss kubwa mama la kujiamini, huyo mama ukimzingua jua anakuzengua mara mia 10,000,000 hahhaa.
Wadau bye bwana nawahi nawahi bajaji za Mwenge natoka Posta, baadae ashampoo hapa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna siku mzigo wake umekamatwa na wale Tigo wanaoshirikiana na TRA
Aliongea mpaka akaanza kuvua nguo
Sijui walimalizaje [emoji28][emoji28]
Kama umeshawahi kufanya biashara hilo sio jambo geni! Watu hutoleana mikwara mizito zaidi ya hiyo ila wakishamaliza kulipana pesa tu ...maisha huendelea kama kawaida na utawakuta wanacheka na kupiga story pamoja. Hiyo ndio raha ya biasharaSasa kama angejisaidia aibu si yake hiyo 😀
Jamani jamani.Nje ya mada: yule mama pekee upande wa wafanybiashara katika Kamati aliyounda Waziri mkuu si ndiye huyu anayezungumziwa katika sredi hii hapa chini?
Salome Mgaya (Mama Kibonge) akamatwa kwa ukwepaji Kodi za Mabilioni ya fedha Bandarini
Leo tarehe 13 Oktoba 2022, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekamata shehena ya mizigo ya vitenge ya marobota 290 katika kontena mbili yenye thamani zaidi ya tsh. Billioni 5 iliyopitishwa kwa magendo katika bandari zetu. Mfanyabiashara mwenye shehena hiyo alitorokea Dubai majuma matatu...www.jamiiforums.com
Namjua vizuri sana huyu mama zaidi ya kuuza vipodozi vya haramu ,hana kitu yoyote uyo!!
Anawadanganya danganya watu kwenye social media.
Atakuwa yule aliomba appointment na Waziri mkuu.Mama chibonge,aliyesema kodi zinamkondesha[emoji23][emoji23]Ndio yupi Sasa?
Pesa na Elimu ni vitu viwili tofauti. Sikila mwenye Elimu anapesa, na mwenye pesa anawsza kuwa na uwelewa mdogo Sana tu.Mtu anasifiwa ana shika million 600 halafu anajichubua na maji ya betri,Si apake vipodozi vya kuleweka
Una hoja nzuri.Pesa na Elimu ni vitu viwili tofauti. Sikila mwenye Elimu anapesa, na mwenye pesa anawsza kuwa na uwelewa mdogo Sana tu.
Hakuna tajiri anaweza kufinya hela,hela uwa zinasema zenyewe hazihitaji kusemewa na wala haihitaji kumjua mtu kwa sura ndio ujue ana hela na kama umaarufu lazima atakuwa nao kutokana hela zake.Matajiri wa kariakoo unawajua?
JITAHIDI utofautishe matajiri na watu maarufu
Kuna watu hela zao wanazifinya kimya kimya hawana kelele
Hakuna tajiri anaweza kufinya hela,hela uwa zinasema zenyewe hazihitaji kusemewa na wala haihitaji kumjua mtu kwa sura ndio ujue ana hela na kama umaarufu lazima atakuwa nao kutokana hela zake.
Huyo mama yenu mnayelazimisha aonekane ni tajiri ukimwangalia tu huoni dalili ya utajiri,tajiri hawezi kukoboka sura kwa kupaka vipodozi wanavyopaka madada poa.
Wewe ndio utafute hela uache kushobokea watu utakuja kuf....wa bure mjini.Pole
Tafuta hela
Wewe ndio utafute hela uache kushobokea watu utakuja kuf....wa bure mjini.
Huyu pia kichwani fyatu kidogo, aliwahi kuvua nguo polisi msimbazi. Polisi ikabidi wamuachie tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jf bwana