Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Hata Kama Magufuli alikuwa na Tatizo la moyo, naweza sema kuna uwezekano mkubwa kuwa infection ya corona imechangia sana kupelekea kupatwa na Tatizo lililompata kutokana na kuleta complications kwenye mfumo wake wa umeme wa moyo.
Mimi siwezi kuamini na wala sotokuja kuamini, kama ni hivyo angeondoka mwaka jana wakati Corona inaingia. Hiyo imechukuliwa kama sababu tu, nenda kasikilize unabii unasemaje✔✔✔✔✔💯
Unabii unaweza kutimia kupitia coronaAcha unafiki haya mambo yote yanayotokea mimi siwezi kuyaamini na wala sitokuja kuamini eti ni corona, kawadanganye wengine, nenda youtube huko kajiangalizie unabii.
Unabii upi tena?Mimi siwezi kuamini na wala sotokuja kuamini, kama ni hivyo angeondoka mwaka jana wakati Corona inaingia. Hiyo imechukuliwa kama sababu tu, nenda kasikilize unabii unasemaje
Watu wa usalama wanatakiwa kujua sio kiongozi anaejiamulia usalama wake ni wao wenye mamlaka ya kuamua juu ya usalama wa kiongoziSana, tunaomba walioko usalama wamshauri avae barakoa, bado tunampenda Sana afanye changes kwa taifa letu na ikiwezekana apige miaka 10..
Hili najua atalifanyia kazi. Watumishi msihofu. Huyu ni Mama.Mwambie pia na sisi watumishi wa umma tunamchora tu! 🙄 Akiendekeza itikadi za mtangulizi wake za kutumia hela zetu za kupandishwa madaraja kununulia bombardier, basi ajue na yeye tutamuandama na kumlaani mpaka kifo.
Ni mwaka wa sita huu tunaishi kwa mishahara na madaraja yale yale! Jambo ambalo ni la kichokozi, dhuluma na lililo jaa uonevu usio pimika!
Watu wa usalama wanatakiwa kujua sio kiongozi anaejiamulia usalama wake ni wao wenye mamlaka ya kuamua juu ya usalama wa kiongozi
Kama ni hivyo angeondoka mwaka jana na sio mwaka huu.Unabii unaweza kutimia kupitia corona
Wewe ni mataga daraja la ngapi??asee unajua siamini kama bavicha watoto wa nyumbu ndo wamedevela hivi 😂😂😂😂😂 msnambie mmemsahau yule shoga kilema wa ulaya?
🎶🎶ccm ni ileeilee 💃💃🕺ooh ni ileilee📯🤸♂️
Ndio maana kipo kitengo cha usalama na ni kipana kuliko unavyodhania ni vile mtangulizi wake alikifukia kwa kila alichosema ilikua sahihi mimi niliumia na sikuangalia alipokua anafungua Magu huko stand ya mbezi kipindi wave tuu imepamba Moto kupitia msumbiji na mtwara na wataalanu wetu walitulia kimya wakiaminishwa madudu na kuyakubali...Kiongozi asiyejua kuhusu usalama wake mwenyewe huyo ni kama mbuzi.
Acha unafiki haya mambo yote yanayotokea mimi siwezi kuyaamini na wala sitokuja kuamini eti ni corona, kawadanganye wengine, nenda youtube huko kajiangalizie unabii.