Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,174
- 143,959
Tundu tena?Tundu hatokuja kuwa raisi wa Tanzania hata siku moja
Kwani wewe humjui Tundu ?Tundu tena?
What’s with this fixation about him?
Anaapishwa kabla hata ya mazishi.Ni baada ya muda gani ndo makamu wa Rais anaapishwa kuwa Rais baada ya Rais aliyepo madarakani kufa au kujiuzuru?
Mama Samia bado ni makamu wa Rais kwa sasa au keshakaimu urais tayari?
Kama ameshakaimu urais, rasmi anatambulikaje? Kaimu Rais hadi pale atakapoapishwa rasmi au?
Maswali ni mengi mno!
Mazishi ni lini?Anaapishwa kabla hata ya mazishi.
Jikite Kwenye Mada, kutoka kumtetea Jiwe kwamba yuko fit mpaka kuja kuhamisha magoli.Hata kama moderator mumefuta replay yangu nachojaribu ni kuwambia watu kwamba Tundu hatokuja kuwa raisi hata baada ya 2025 kosa langu liko wapi hapo ?
Sijatukana mtu ila natoa taarifa tuu
Ndio hata kuja kuwa raisi mfahamu hilo
Kwa mujibu wa Kigogo ni tarhe 25. Sijui kama ni kweli. Ila Samia kuapishwa itakuwa ni tukio dogo la watu muhimu, lisilo na shangwe ma popote wanapoona panafaa.Mazishi ni lini?
Hahahaaa! Eti kwa mujibu wa Kigogo.Kwa mujibu wa Kigogo ni tarhe 25. Sijui kama ni kweli. Ila Samia kuapishwa itakuwa ni tukio dogo la watu muhimu, lisilo na shangwe ma popote wanapoona panafaa.
Aah tar 25 mbali sana, hebu wawe serious si nikuapa tu au Kuna kingine?Kwa mujibu wa Kigogo ni tarhe 25. Sijui kama ni kweli. Ila Samia kuapishwa itakuwa ni tukio dogo la watu muhimu, lisilo na shangwe ma popote wanapoona panafaa.
Tumewafanzaje mkuu!!!? [emoji848]Duh... Zanzibar hakika wamejua kutufunza adabu.
Inatakiwa iwe baada ya masaa 24 tangu tangazo lá kifo. Amri Jeshi mkuu ndio huongoza mazishi ya aliyekuwa Amri Jeshi mkuu.Mazishi ni lini?
Ng'eg'e zimezidiTundu tena?
What’s with this fixation about him?