iArmaniAdamson
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 944
- 287
Umofia Kwenu Wanajamvi.
Labda niwe wa kwanza kutupia kete yangu kwa mama Samia Suluhu kuwa Raisi mwanamke wa Kwanza huko visiwani mwaka 2020.
Najua itaonekana kama ni kipindi kirefu sana na leo ndio kwanza siku ya kwanza, Ila tukiangalia historia vizuri, makamu wa Raisi Tanzania bara huwa wanaandaliwa kwenda kuwa Raisi wa Zanzibar kwa kipindi kinachofuata.
Maana sioni kama kuna mtu mwingine atayeweza kupokea mikoba ya Dr. Shein pindi atakapo maliza muda wake wa kuwa Raisi 2020 ( albeit ) kuna uchaguzi miezi miwili kutokea sasa.