Mama Samia NZUGUNI A Dodoma bado chamoto mradi wa urasimishaji makazi.

relis

JF-Expert Member
May 24, 2015
3,188
4,763
Hongera sana mama kwa makubwa yanayoonekana katika Taifa hili na hatua unazozichukua katika kutuletea maendeleo tunashukuru tunaahidi kufanya kila jema kuleta maendeleo katika Taifa hili.
Niendee moja kwa moja kwenye mada inayohusu changamoto ya mradi wa kulasimisha makazi katika eneo Nzuguni A hapa Dodoma,Zoezi ni la muda mrefu kwenda miaka mitatu lakini umalizaji wa mradi huu umekuwa kizungumkuti mpaka kupelekea wananchi wenye viwanja kuchoka kuvumilia na kuamua kuendeleza ujenzi baada ya kuchoshwa na sarakasi zisizoisha kutoka jiji la Dodoma.
mwanzo wa uanzaji wa zoezi hili tuliambiwa ingechukua miezi 6 kila kitu kingekuwa Sawa lkn kilichofanyika viwanja Vingi vimeingizwa katika maingiliano na kuleta migogoro ya wamiliki,tukaahidiwa kufanyiwa marekebisho na kupitishwa marekebisho hayo mpaka Leo imepita miezi 8 hakuna kinachoeleweka kila mmoja anamrushia mwenzie lawama,hatuwezi kumlaumu Mkurugenzi moja kwa moja lakini tunakuomba ufuatilie kwa karibu zoezi hili liishe tuweze kuijenga nchi yetu.
 
Uzi mzuri hakuna wachangiaji.
Kifupi ukiona eneo hipimwi uhue kuna mpango mahususi tofauti na makazi. Nenda Kajiridhishe kwenye master plan
 
Back
Top Bottom