Mama Samia kaona apige chini kwanza SGR lot 5.

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,693
Reaction score
21,767
Mama Samia ameona ni bora kuachana na kipande cha 5 cha SGR kutoka Mwanza kwenda Isaka Shinyanga.
Itakumbukwa miaka miwili iliyopita tulileta uzi ukionyesha ujenzi wa daraja la juu mkuyuni, miaka miwili baadae daraja hilo bado kukamilika na ujenzi wake umesimama kabisa. Baada ya miaka 2000 hatimaye Mwanza yapata daraja la juu la kwanza. Sasa hivi mitambo yote imerudishwa yard na hamna wafanyakazi wowote site.
Tunapoelekea kwenye uchaguzi huu, Watanzania wenzangu tujitahidi kuchagua watu wenye uwezo wa kutosha kusimamia miradi ya kimkakati
 
Safi mama mitano tena
Hii nchi inajiendea tu kama jahazi lisilo na nahodha.
 
Mama Samia ameona ni bora kuachana na kipande cha 5 cha SGR kutoka Mwanza kwenda Isaka Shinyanga.
Itakumbukwa miaka miwili iliyopita tulileta uzi ukionyesha ujenzi wa daraja la juu mkuyuni, miaka miwili baadae daraja hilo bado kukamilika na ujenzi wake umesimama kabisa. Baada ya miaka 2000 hatimaye Mwanza yapata daraja la juu la kwanza. Sasa hivi mitambo yote imerudishwa yard na hamna wafanyakazi wowote site.
Tunapoelekea kwenye uchaguzi huu, Watanzania wenzangu tujitahidi kuchagua watu wenye uwezo wa kutosha kusimamia miradi ya kimkakati
pesa zilitumika kununua SSH 2025 baiskeli na SSH 2025 pikipiki bila kusahau SSH 2025 chupi
 
Mama Samia ameona ni bora kuachana na kipande cha 5 cha SGR kutoka Mwanza kwenda Isaka Shinyanga.
Itakumbukwa miaka miwili iliyopita tulileta uzi ukionyesha ujenzi wa daraja la juu mkuyuni, miaka miwili baadae daraja hilo bado kukamilika na ujenzi wake umesimama kabisa. Baada ya miaka 2000 hatimaye Mwanza yapata daraja la juu la kwanza. Sasa hivi mitambo yote imerudishwa yard na hamna wafanyakazi wowote site.
Tunapoelekea kwenye uchaguzi huu, Watanzania wenzangu tujitahidi kuchagua watu wenye uwezo wa kutosha kusimamia miradi ya kimkakati
Hakuna aliyepiga chini
 
Hakuna aliyepiga chini
Mkuu huwa unapambana sana kumtetea maza, hongera sana!
Na ukweli ni kwamba atakuwa rais wetu tu kwa namna yoyote ile...system ishaset hivyo.
Ila kiukweli kabisaa mama watz walio wengi hawamkubali kabisaa, hasa wale wa maisha ya kati na ya chini...ndio maana leval za kumtangaza/kumnadi sio za dunia hii!
 
Mkuu huwa unapambana sana kumtetea maza, hongera sana!
Na ukweli ni kwamba atakuwa rais wetu tu kwa namna yoyote ile...system ishaset hivyo.
Ila kiukweli kabisaa mama watz walio wengi hawamkubali, hasa wale wa maisha ya kati na ya chini...ndio maana leval za kumtangaza/kumnadi sio za dunia hii!
Napambanaje? Hakuna Nguvu yeyote Bali ni utaratibu ule ule wa miaka yote.

Kwani kama hawamkubali hao unaowasema inawasaidia nini ikiwemo wewe?

Kwani lazima wamkubali wote Ili awe Rais? Kwani mtamfanya nini by the way? 🤣🤣

Mwisho acha Kupotosha hakuna Kipande kilichopigwa chini Kiko 64% from 3% 4 years ago.
 
Back
Top Bottom