Mama Samia fanya haya kujiokoa

Mama Samia fanya haya kujiokoa

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
23,961
Reaction score
42,168
Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Ukiwa unahutubia watu jiangushe chini puuu kama mzigo wa Kuni, Kisha muite mkuu wa majeshi mwambie siwezi tena kuendelea kuongoza maana hali yangu kiafya ni mbaya sana

Kwanini ufanye hivyo? Ili uwakwepe hawa wana mtandao ambao wanataka kukubagaza na kuchuma mali kifisadi kwa mgongo wako huku wewe ukichuma laana

Asante sana

SAYUNI BOY
 
Walishaiteka nafsi yake hawezi kufanya hivyo. Alipokosea Samia ni tamaa ya urais 2025-2030. Kama angekubali kustaafu urais mwaka huu angetunza heshima na maisha yake.
 
Walishaiteka nafsi yake hawezi kufanya hivyo. Alipokosea Samia ni tamaa ya urais 2025-2030. Kama angekubali kustaafu urais mwaka huu angetunza heshima na maisha yake.
Shetani hana rafiki
 
Hamna kitu watamfanya Samia na atakuwa Rais.
 
Back
Top Bottom