Mama Samia anza kwa kuboresha Baraza la Mawaziri

Mama Samia anza kwa kuboresha Baraza la Mawaziri

Yaani avunje baraza la mawaziri aunde upya vilevile sijui sheria inasemaje angeitisha uchaguzi wa wabunge na madiwani make ule uliofanyika haukua uchaguzi bali ulikua uchafuzi
 
Mama ni wa kumuhurumia na si ajabu ambavyo hapendi makuu akaikataa hiyo nafasi.

Atakayekuwa rais atakuwa na kazi ngumu kuliko marais wote waliopata kutokea tz. Kazi ya Kuondoa "Magufulification" inahitaji miaka isiyopungua miwili.

Damage ni kubwa kubwa kubwa imeanzia ndani ya chama, bungeni mpaka serikalini ngazi za chini hadi juu. Namna pekee ni kuitisha uchaguzi mpya ili aweze kulirudisha taifa from ground else atafeli vibaya sana.
 
Hapana, ngoja kwanza tumpumzishe mzee, halafu taratiiibu akishapatikana makamu wa Rais, sasa ndo watashauriana na Waziri mkuu namna ya kuunda serikali. Tumpr mama wa watu muda, hii nafasi sio ya mzaha mzaha. Na awe na washauri wazuri vinginevyo atayumba.
 
Huyu mama akitaka kufanikiwa inabidi atimue makapi yote ya hayati, otherwise yatamaumbua sana.

Ni sawa lazima aje na team yake lakini inabidi aende taratibu na kwa uangalifu asifanye haraka watamkwamisha. Mama Samia itakuwa busara kwake kama atakuwa karibu sana na Mzee Mangulla atamsaidia. Asikubali huyo mzee aondoke wakati huu kama Jiwe alivyotaka! Akae chonjo sana na hao vijana wakina Polepole ni wanafiki hawaaminiki.
 
Mumkumbushe aliyepeleka wanyama burigi awarudishe alikowatoa kwanza
 
Yaaani kifo sekunde tu watu wanaandika mengine
 
Mama usiingie kichwa kichwa ktk kuongoza nchi yetu kuna mabadiliko makubwa ya kufanya katika baraza la mawaziri, wakuu wa mikoa, makatibu wakuu, wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa Halmashauri za wilaya. La sivyo utateseka sana kufanya maamuzi peke yako na itakuwa one man show leadership kama iliyopita. Katika teuzi zako uwe sana makini na haya makundi 3 ya mawaziri walioko madarakani maana wengi walikuwa remote tu na hawakumsaidia rais aliyepita kwa kuogopa kufukuzwa kazi:

KUNDI LA KWANZA: MAWAZIRI BENDERA FUATA UPEPO NA KUJIPENDEKEZA A.K.A WALAMBA VIATU

Kwenye kundi hili wapo wafuatao ambao sifa yao kubwa ni tabia ya UOGA na kumsifia rais tu na hawana jipya wala ubunifu wowote

  • Palamagamba Kabudi( ameidhalilisha UDSM inaitwa JALALANI, mganga njaa)
  • Jumaa Axweso : waziri wa Maji(huyu ana mihemko mingi kama mpiga gitaa za reggae, pia anakurupuka)
  • Joyce Ndalichako( anakurupuka kufanya maamuzi bila utafiti
  • Jenister mhagama (hajiamini hata kufanya maamuzi ambayo ni obvious)
  • Ummy Mwalimu(ana nidhamu ya uoga na kutojiamini)
  • Innocent Bashungwa(hafai hata kuwa hata mwalimu mkuu wa Primary school)
  • Damas Ndumbaro(mnafiki na mjuaji)
  • Geofrey Mwambe ( hana jipya , siyo mbunifu)
  • Dkt Leonard Chamuliho( ana nidhamu ya uoga na kutokujiamini sio mtu wa vitendo
  • Dkt Philip Mpango( ana tabia yaku -cook data za uchumi kumfurahisha rais)
  • Dr. Godwin Mollel ( Huyu ana skendo nyingi, nendeni Mirerani mtajua, pia ameharibu gari la mtu hataki kulipa mil 20, pia ni mwongo mkubwa na mpenda sifa za kijinga; hana weledi hata kidogo)
  • George Mkuchika ( mzee huyu akapumzike huyu tafuteni damu mpya hana jipya ni walewale wa kulamba viatu)
  • Mwigulu Nchemba( arrogant, jeuri anapenda kutisha watu , huyu ana spirit ya udikteta na tabia za uongo hafai kwenye nchi ya demokrasia, busara ni zero)
  • Dotto Biteko (ameumiza sana sekta ya madini halafu sio mwaminifu, ni mtu wa deal


KUNDI LA PILI: MAWAZIRI MAJASIRI NA WANAOJIAMINI


  • Prof .Adolph Mkenda( Strong , decisive, technical, objective and problem solver
  • Husein Bashe( quick to act, bold, intelligent, technical, objective and problem solver
  • Simbachawene ( anafanya mambo objectively bila papara)
  • Medadi Kalemani(Pamoja na kubebwa na homeboy lakini amejiongeza sana)
  • Dorothy Gwajima( Ni mbunifu na jasiri ila mwoga kuchukua hatua kali)
  • Wiliam Lukuvi ( Hapendi uonevu, anajiamini, hana longolongo ana address tatizo na kutoa ufumbuzi, tunahitaji akina Lukuvi wengi)
  • Sulemani Jaffo( Huyu anafaa ni mjasiri na decision maker mzuri)
NB: NASHAURI HUSEIN BASHE APEWE WIZARA BADALA YA KUWA NAIBU WAZIRI



KUNDI LA TATU: MAWAZIRI WA KUJENGEWA UWEZO


  • Kitila Mkumbo
  • Mashimba Ndaki
  • John Kwandikwa
  • Faustine Ndungulile
MANAIBU MAWAZIRI

Naibu Waziri anayekubalika na anayejua anachokifanya ni Huseini Bashe na kufuatiwa kwa mbaaali na Angelina Mabula wengine wote waliobaki ni kama wacheza ngoma tu maana hata JD zao hawazielewi

MAKATIBU WAKUU WA KUFYEKWA MAPEMA:


  • Doto James: Mama Samia anza na huyu bila huruma mapeema nafikiri unaelewa kwa nini nasema hivi
  • Katibu Mkuu wizara ya afya: huyu aondoke maana ni mwongo mkubwa hana weledi wa kukaa ktk hiyo Wizara
Kwa hiyo mama na dada yetu tunakusihi usiingie kuongoza serikali na watu mizigo tunahitaji mabadiliko makubwa na speed ya utendaji, zaidi sana kkundeleza na kumalizia ile miradi mikubwa ya kimkakati ikiwemo ule wa bwawa la Nyerere, bomba la mafuta na STD gauge railways.

Makada wa chama wabakie kutekeleza majukumu ya chama na watu wenye uwezo wao(professionals) wa kiutendaji wapewe nafasi za kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi mbele. Kimsingi ndio wengi wameachwa benchi kwa sababu walikataa tabia ya NDIYO MZEE
Aanze na team amabyo yeye anaiamini itamsaidia.unajua yeye anawajua vizuri wote kabisa wote hao sababu Hayati Magu alimshirikisha makamu wake kwa input.sema kuna wemgine aliitikia kwamba wanafaa kwa sababu ya tone ya mkuu ilivyokuwa ijapo mwenyewe kuna wengine anawajua kabisa waliingizwa kwa interest ya Hayati mwenyewe ila si kwa nchi.Aanze na hao,wote makatibu na mawaziri

Yuko responsible kuunda team itakayo msaidia mwenyewe.

ANGALIZO MHIMU Wasukumuma, Wakurya na Masai huwa hawawaheshimu wanawake.in short hawapendi kutumwa na mwanamke.yaani hawawaamini wanawake kwamba wanaweza fanya maamuzi makubwa. so inabidi kuangalia anayetegemea kumteu kuwa makamu wake
 
Nashauri Makamu wa Rais awe Mkristo Mkatoliki na Waziri Mkuu awe Mkristo Mprotestanti au Makamu wa Rais awe Mkristo Mprotestanti na Waziri Mkuu awe Mkristo Mkatoliki.

Waziri Mkuu awe Mkenda au Kimei kuendana na kama Makamu wa Rais atakuwa Mprotestanti au Mkatoliki.

Kabudi anaweza kuwa Makamu wa Rais na Waziri Mkuu anaweza kuwa Mkenda.

Au Lukuvi anaweza kuwa Makamu wa Rais na Kimei akawa Waziri Mkuu.

Au combination nyingine nzuri za Makamu wa Rais Mkatoliki na Waziri Mkuu Mprotestanti au Makamu wa Rais Mprotestanti na Waziri Mkuu Mkatoliki.

Bunge ndio liwe uwanja mkuu wa kufanya maamuzi haya, kwasababu uwiano wa kidini ndani ya Kamati Kuu ya CCM, hauendani na hali halisi nchini.

Halafu in the future, baada ya Rais Samia kumaliza vipindi vyake vya uongozi, tujaribu kuwa na Rais Mprotestanti, kwasababu Tanzania haijawahi kuwa na Rais Mprotestanti.

Ushauri huu usipofuatwa hakuna tatizo lolote. Maisha yanaendelea kwa amani na utulivu.
 
Back
Top Bottom