2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,232
- 4,927
Yule maza hata kudeki hospitali hafaiYule wa afya ni.wa kuanzia Kisutu kabisa
Yule maza hata kudeki hospitali hafaiYule wa afya ni.wa kuanzia Kisutu kabisa
Bashe,big NO.Mama usiingie kichwa kichwa ktk kuongoza nchi yetu kuna mabadiliko makubwa ya kufanya katika baraza la mawaziri, wakuu wa mikoa, makatibu wakuu, wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa Halmashauri za wilaya. La sivyo utateseka sana kufanya maamuzi peke yako na itakuwa one man show leadership kama iliyopita. Katika teuzi zako uwe sana makini na haya makundi 3 ya mawaziri walioko madarakani maana wengi walikuwa remote tu na hawakumsaidia rais aliyepita kwa kuogopa kufukuzwa kazi:
KUNDI LA KWANZA: MAWAZIRI BENDERA FUATA UPEPO NA KUJIPENDEKEZA A.K.A WALAMBA VIATU
Kwenye kundi hili wapo wafuatao ambao sifa yao kubwa ni tabia ya UOGA na kumsifia rais tu na hawana jipya wala ubunifu wowote
- Palamagamba Kabudi( ameidhalilisha UDSM inaitwa JALALANI, mganga njaa)
- Jumaa Axweso : waziri wa Maji(huyu ana mihemko mingi kama mpiga gitaa za reggae, pia anakurupuka)
- Joyce Ndalichako( anakurupuka kufanya maamuzi bila utafiti
- Jenister mhagama (hajiamini hata kufanya maamuzi ambayo ni obvious)
- Ummy Mwalimu(ana nidhamu ya uoga na kutojiamini)
- Innocent Bashungwa(hafai hata kuwa hata mwalimu mkuu wa Primary school)
- Damas Ndumbaro(mnafiki na mjuaji)
- Geofrey Mwambe ( hana jipya , siyo mbunifu)
- Dkt Leonard Chamuliho( ana nidhamu ya uoga na kutokujiamini sio mtu wa vitendo
- Dkt Philip Mpango( ana tabia yaku -cook data za uchumi kumfurahisha rais)
- Dr. Godwin Mollel ( Huyu ana skendo nyingi, nendeni Mirerani mtajua, pia ameharibu gari la mtu hataki kulipa mil 20, pia ni mwongo mkubwa na mpenda sifa za kijinga; hana weledi hata kidogo)
- George Mkuchika ( mzee huyu akapumzike huyu tafuteni damu mpya hana jipya ni walewale wa kulamba viatu)
- Mwigulu Nchemba( arrogant, jeuri anapenda kutisha watu , huyu ana spirit ya udikteta na tabia za uongo hafai kwenye nchi ya demokrasia, busara ni zero)
- Dotto Biteko (ameumiza sana sekta ya madini halafu sio mwaminifu, ni mtu wa deal
KUNDI LA PILI: MAWAZIRI MAJASIRI NA WANAOJIAMINI
NB: NASHAURI HUSEIN BASHE APEWE WIZARA BADALA YA KUWA NAIBU WAZIRI
- Prof .Adolph Mkenda( Strong , decisive, technical, objective and problem solver
- Husein Bashe( quick to act, bold, intelligent, technical, objective and problem solver
- Simbachawene ( anafanya mambo objectively bila papara)
- Medadi Kalemani(Pamoja na kubebwa na homeboy lakini amejiongeza sana)
- Dorothy Gwajima( Ni mbunifu na jasiri ila mwoga kuchukua hatua kali)
- Wiliam Lukuvi ( Hapendi uonevu, anajiamini, hana longolongo ana address tatizo na kutoa ufumbuzi, tunahitaji akina Lukuvi wengi)
- Sulemani Jaffo( Huyu anafaa ni mjasiri na decision maker mzuri)
KUNDI LA TATU: MAWAZIRI WA KUJENGEWA UWEZO
MANAIBU MAWAZIRI
- Kitila Mkumbo
- Mashimba Ndaki
- John Kwandikwa
- Faustine Ndungulile
Naibu Waziri anayekubalika na anayejua anachokifanya ni Huseini Bashe na kufuatiwa kwa mbaaali na Angelina Mabula wengine wote waliobaki ni kama wacheza ngoma tu maana hata JD zao hawazielewi
MAKATIBU WAKUU WA KUFYEKWA MAPEMA:
Kwa hiyo mama na dada yetu tunakusihi usiingie kuongoza serikali na watu mizigo tunahitaji mabadiliko makubwa na speed ya utendaji, zaidi sana kkundeleza na kumalizia ile miradi mikubwa ya kimkakati ikiwemo ule wa bwawa la Nyerere, bomba la mafuta na STD gauge railways.
- Doto James: Mama Samia anza na huyu bila huruma mapeema nafikiri unaelewa kwa nini nasema hivi
- Katibu Mkuu wizara ya afya: huyu aondoke maana ni mwongo mkubwa hana weledi wa kukaa ktk hiyo Wizara
Makada wa chama wabakie kutekeleza majukumu ya chama na watu wenye uwezo wao(professionals) wa kiutendaji wapewe nafasi za kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi mbele. Kimsingi ndio wengi wameachwa benchi kwa sababu walikataa tabia ya NDIYO MZEE
Nakuunga nkono asilimia 100%.Wasimpe wakati mgumu kuendelea na watu asiowahitaji kwa kuwaonea aibu.Ila kwa kuwa bado wanapenda mishahara mizuri na wabinafsi ni ngum sana.Kwa watu waungwana, baraza lote la mawaziri lijiuzuru, limpe nafasi Samia kuunda la kwake from the scratch. Kama wengi mlivyosema, baraza hili liilundwa kwa mahitaji ya JPM, siyo lazima limfae Samia.
Tusiwalaumu mawaziri waliokuwa wa ndio mzee maana hao ndio aliowahitaji. Msisubiri mama aanze kuwatumbua, Chonde chonde kwa heshima mjiuzuru.
Kwa kuwa kuna ving'ang'anizi wasiotaka kujiuzuru basi Waziri mkuu anza wewe na ukifanya hivyo itabidi na wengine nao wote wajiuzuru.
Hii dhana ya wakatoliki na waprotestant uwa siielewi inatoka wapi,though najua deep inatumika sana.Nashauri Makamu wa Rais awe Mkristo Mkatoliki na Waziri Mkuu awe Mkristo Mprotestanti au Makamu wa Rais awe Mkristo Mprotestanti na Waziri Mkuu awe Mkristo Mkatoliki.
Waziri Mkuu awe Mkenda au Kimei kuendana na kama Makamu wa Rais atakuwa Mprotestanti au Mkatoliki.
Kabudi anaweza kuwa Makamu wa Rais na Waziri Mkuu anaweza kuwa Mkenda.
Au Lukuvi anaweza kuwa Makamu wa Rais na Kimei akawa Waziri Mkuu.
Au combination nyingine nzuri za Makamu wa Rais Mkatoliki na Waziri Mkuu Mprotestanti au Makamu wa Rais Mprotestanti na Waziri Mkuu Mkatoliki.
Bunge ndio liwe uwanja mkuu wa kufanya maamuzi haya, kwasababu uwiano wa kidini ndani ya Kamati Kuu ya CCM, hauendani na hali halisi nchini.
Halafu in the future, baada ya Rais Samia kumaliza vipindi vyake vya uongozi, tujaribu kuwa na Rais Mprotestanti, kwasababu Tanzania haijawahi kuwa na Rais Mprotestanti.
Ushauri huu usipofuatwa hakuna tatizo lolote. Maisha yanaendelea kwa amani na utulivu.
Ni mweupe kichwani ana maneno ya kuhadaa na hajui chochote kuhusu kilimo ila kwakuwa ni top huwezi kumpinga hadharani face to face inabidi wamuitikie tu.Bashe,big NO.
Mjuaji,mpenda sifa,mnafiki, ana dharau.
Big NO,hao hawafai kabisa.Mama usiwaacha Makamba Jr na Nape Nnauye
Dotto James akanyee ndoo tu
Aisee,Nashauri pia mama aje na baraza lake hivyo hata Waziri mkuu nae aondolewe.
Alituongopea akiwa msikitini Njombe
TNgoja tumzike mzee wetu,
Aanze freshHuyu mama akitaka kufanikiwa inabidi atimue makapi yote ya hayati, otherwise yatamaumbua sana.
Kwa kweli ni MUHIMU SANA SANA Mama Samia atulie na afanye uchambuzi wa kina sana halafu AANZE NA BARAZA JIPYA KABISA. Kama atabakiza hao waliopo sasa labda wasizidi hata kumi. Otherwise wengi watamkwamisha vibaya !! Tena akiteua baraza zuri atajizolea heshima na confidence kwa WaTz wengi sana.Mama usiingie kichwa kichwa ktk kuongoza nchi yetu kuna mabadiliko makubwa ya kufanya katika baraza la mawaziri, wakuu wa mikoa, makatibu wakuu, wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa Halmashauri za wilaya. La sivyo utateseka sana kufanya maamuzi peke yako na itakuwa one man show leadership kama iliyopita. Katika teuzi zako uwe sana makini na haya makundi 3 ya mawaziri walioko madarakani maana wengi walikuwa remote tu na hawakumsaidia rais aliyepita kwa kuogopa kufukuzwa kazi:
KUNDI LA KWANZA: MAWAZIRI BENDERA FUATA UPEPO NA KUJIPENDEKEZA A.K.A WALAMBA VIATU
Kwenye kundi hili wapo wafuatao ambao sifa yao kubwa ni tabia ya UOGA na kumsifia rais tu na hawana jipya wala ubunifu wowote
- Palamagamba Kabudi( ameidhalilisha UDSM inaitwa JALALANI, mganga njaa)
- Jumaa Axweso : waziri wa Maji(huyu ana mihemko mingi kama mpiga gitaa za reggae, pia anakurupuka)
- Joyce Ndalichako( anakurupuka kufanya maamuzi bila utafiti
- Jenister mhagama (hajiamini hata kufanya maamuzi ambayo ni obvious)
- Ummy Mwalimu(ana nidhamu ya uoga na kutojiamini)
- Innocent Bashungwa(hafai hata kuwa hata mwalimu mkuu wa Primary school)
- Damas Ndumbaro(mnafiki na mjuaji)
- Geofrey Mwambe ( hana jipya , siyo mbunifu)
- Dkt Leonard Chamuliho( ana nidhamu ya uoga na kutokujiamini sio mtu wa vitendo
- Dkt Philip Mpango( ana tabia yaku -cook data za uchumi kumfurahisha rais)
- Dr. Godwin Mollel ( Huyu ana skendo nyingi, nendeni Mirerani mtajua, pia ameharibu gari la mtu hataki kulipa mil 20, pia ni mwongo mkubwa na mpenda sifa za kijinga; hana weledi hata kidogo)
- George Mkuchika ( mzee huyu akapumzike huyu tafuteni damu mpya hana jipya ni walewale wa kulamba viatu)
- Mwigulu Nchemba( arrogant, jeuri anapenda kutisha watu , huyu ana spirit ya udikteta na tabia za uongo hafai kwenye nchi ya demokrasia, busara ni zero)
- Dotto Biteko (ameumiza sana sekta ya madini halafu sio mwaminifu, ni mtu wa deal
KUNDI LA PILI: MAWAZIRI MAJASIRI NA WANAOJIAMINI
NB: NASHAURI HUSEIN BASHE APEWE WIZARA BADALA YA KUWA NAIBU WAZIRI
- Prof .Adolph Mkenda( Strong , decisive, technical, objective and problem solver
- Husein Bashe( quick to act, bold, intelligent, technical, objective and problem solver
- Simbachawene ( anafanya mambo objectively bila papara)
- Medadi Kalemani(Pamoja na kubebwa na homeboy lakini amejiongeza sana)
- Dorothy Gwajima( Ni mbunifu na jasiri ila mwoga kuchukua hatua kali)
- Wiliam Lukuvi ( Hapendi uonevu, anajiamini, hana longolongo ana address tatizo na kutoa ufumbuzi, tunahitaji akina Lukuvi wengi)
- Sulemani Jaffo( Huyu anafaa ni mjasiri na decision maker mzuri)
KUNDI LA TATU: MAWAZIRI WA KUJENGEWA UWEZO
MANAIBU MAWAZIRI
- Kitila Mkumbo
- Mashimba Ndaki
- John Kwandikwa
- Faustine Ndungulile
Naibu Waziri anayekubalika na anayejua anachokifanya ni Huseini Bashe na kufuatiwa kwa mbaaali na Angelina Mabula wengine wote waliobaki ni kama wacheza ngoma tu maana hata JD zao hawazielewi
MAKATIBU WAKUU WA KUFYEKWA MAPEMA:
Kwa hiyo mama na dada yetu tunakusihi usiingie kuongoza serikali na watu mizigo tunahitaji mabadiliko makubwa na speed ya utendaji, zaidi sana kkundeleza na kumalizia ile miradi mikubwa ya kimkakati ikiwemo ule wa bwawa la Nyerere, bomba la mafuta na STD gauge railways.
- Doto James: Mama Samia anza na huyu bila huruma mapeema nafikiri unaelewa kwa nini nasema hivi
- Katibu Mkuu wizara ya afya: huyu aondoke maana ni mwongo mkubwa hana weledi wa kukaa ktk hiyo Wizara
Makada wa chama wabakie kutekeleza majukumu ya chama na watu wenye uwezo wao(professionals) wa kiutendaji wapewe nafasi za kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi mbele. Kimsingi ndio wengi wameachwa benchi kwa sababu walikataa tabia ya NDIYO MZEE
Kwahiyo Dorothy Gwajima anajielewa?
Kina mmoja alishindwa kuapa kabisa.Ila baraza la JPM lilijaa watu wenye nidhamu ya uoga, watu wakushikiwa akili na wasiojielewa wengi sana. Jambo la ajabu ni kuwa lilijaa wasomi watupu, mtu mwenye elimu ya chini unakuta ana master.
wewe utakua ndio mliokuwa mnaiba dawaYule maza hata kudeki hospitali hafai