Mama Salma...Mmemuona???????

Mama Salma...Mmemuona???????

Nyakipambo

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2011
Posts
435
Reaction score
141
MAMA SALMA.jpg

Chinese First Lady, Madame Peng Liyuan, left,, waves as she is accompanied by Tanzanian First Lady, Salma Kikwete, right, at Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam-Tanzania

Picture by Associated Press/ Khalfan Said

Huyu First Lady wa China alikuwa Mwanamziki..hebu muone hapa chini aki-perform

peng.jpg
 
wataalum wa mavazi tuambieni sasa hapo vp kwa mimi ambae si mtaalum wamependeza.
 
Huyo mke wa Xi Jinping alikuwa ni mwanamuziki na mwanamitindo pia.
 
safi sana mama salma kapendeza kaonyesha uzalendo kwa kutupia VYA KWETU, anaonekana yuko well organised...

ivi incase huyu raisi angekuja na watoto wake, akina rizione wangeenda kuwampa kampani? au?
maana baba kwa baba
mama kwa mama
na watoto kwa watoto ......
 
Ki protocal ingependeza tu!
 
safi sana mama salma kapendeza kaonyesha uzalendo kwa kutupia VYA KWETU, anaonekana yuko well organised...

ivi incase huyu raisi angekuja na watoto wake, akina rizione wangeenda kuwampa kampani? au?
maana baba kwa baba
mama kwa mama
na watoto kwa watoto ......

Hapa jee..
 
Attachments

  • jin.jpg
    jin.jpg
    75.8 KB · Views: 285
dah, huyo mtoto wa kichina hapo kushoto mashallah..........
 
Hivi ni mijicho yangu ama la!! Naona Salma kapungua umbo hasa tumboni. Mazoezi gani wafanya our first lady? Umependeza!!!
 
safi sana mama salma kapendeza kaonyesha uzalendo kwa kutupia VYA KWETU, anaonekana yuko well organised...

ivi incase huyu raisi angekuja na watoto wake, akina rizione wangeenda kuwampa kampani? au?
maana baba kwa baba
mama kwa mama
na watoto kwa watoto ......

We nawe

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom